Walimu kwenda kusoma

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,549
Reaction score
4,133
mimi ni mwalimu wa shule ya msingi...na nina hitaj kwenda kusoma kabla huu mpango wao wa ku upgrade walimu haujafika.
niamze safari ya kusoma huku nikiwa kazini.

kuna njia ya kuongezea credits then uende 5&6 for 1 year mambo yakiwa mazuri uende degree.
.
pia kuna uwezekano wa kwenda dip ya kitu kingine ukawa na ruhusa kazini huku upo shuleni.


hapa naomben mchango wenu njia ipi nzuri ya kupita ili tufanikishr haya maisha. na pia kusaidia wengne walokata tamaa
 



Mpango Wa Ku upgrade walimu ni UPI?

Kama Una certificate unaweza omba advance diploma ya ualimu ambayo ni equivalent to degree....

pia kusomq 5&6 sio mbaya ni njia rahisi pia....

All the best....
 
advance diploma lazima uwe umefka form six.

ukienda kusoma kitu kingine hupewi ruhusa.

njia nzuri resit mtihan wa fm4 upate crediti soma pvivate candidate 5&6 then utaenda degree au hiyo advanced diploma.

ushauri ukirudia kazania masomo ya sayansi ndo utapata mkopo arts utachora chini
 
tafuta credits kwanza alafu soma 5&6 mmb yakienda vzr kachukue degree.utakua umepiga pass ndefu sana.hata wakigrade kwa mara nyingine utakuwa above there level.masomo gani utachukua 5&6 fuata moyo wako na kile utakacho kiweza.ushabiki weka pembeni kwani A level haiitaji hayo mmbo.
 

Wisest idea
 

Ungekuwa na credit ingekuwa rahisi sana, pacha wangu alikuwa mwalimu wa grade A miaka saba iliyopita na alisoma course ya Grade A ile ya mwaka mmoja, form four alikuwa na credit za kutosha, mazingira ya kazi yalikuwa kijijini hivyo uwezekano wa kusoma masomo ya science ambayo alikuwa na uwezo mkubwa katika hayo ikashindikana hivyo akaamua kusoma ya arts HGK, alisoma tuition kwa miezi 3 kisha maandalizi ya mtihan miezi 5 jumla miezi 8, akafanya mtihan akapata div two point 10, E D A, akapata chuo udom, akamaliza sasa anamalizia masters udsm. Komaa utafika
 
Mpango Wa Ku upgrade walimu ni UPI?

Kama Una certificate unaweza omba advance diploma ya ualimu ambayo ni equivalent to degree....

pia kusomq 5&6 sio mbaya ni njia rahisi pia....

All the best....

hapo itahitaj miaka 2 ili kuweka vyeti sawa...then usonge hapo si kupoteza muda kk.
 



vip nikichukua dip ya hr uhasibu au management private....then nikaomba mkopo niunge degree... hapo inakuwaje..?
maana lengo sio kwenda kufundisha sec au chuo...nifanye kaz kitengo ndan ya elim
 
vip nikichukua dip ya hr uhasibu au management private....then nikaomba mkopo niunge degree... hapo inakuwaje..?
maana lengo sio kwenda kufundisha sec au chuo...nifanye kaz kitengo ndan ya elim
Inawezekana, ila mkopo ni wa bank sio bodi ya mikopo, utasumbuka kuomba hutopata, uhasibu au management si priority pia utaonekana umemaliza sec kitambo
 
Mpango Wa Ku upgrade walimu ni UPI?

Kama Una certificate unaweza omba advance diploma ya ualimu ambayo ni equivalent to degree....

pia kusomq 5&6 sio mbaya ni njia rahisi pia....

All the best....

Nani kakwambia advanced diploma ni equivalent to degree? hyo ni diploma kwa shule za sekondari tu.
 
Nenda kasome diploma ya shule ya msingi ambayo kwa sifa ulizonazo utapata chuo na baada ya hapo unakwenda kusoma shahada moja kwa moja ila unatakiwa ujitahidi ufaulu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…