Walimu mbeya wakataa kutekeleza mpango wa Matokeo makubwa sasa(BRN)

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
692
Reaction score
262
Akizungumza na walimu walioudhulia semina ya Matokeo makubwa sasa inayofanyika katika shule ya sekondari Iyunga Afisa Elimu wa Jiji Mbeya."Alisema BRN ilianzia kwa Mawazili wakaikubali,Ikaletwa kwa maafisa elimu wakaikubali,ikapelekwa kwa wakuu washule wakaikubali, Sasa naileta kwenu walimu ambao ndo watekelezaji je mnaikubali? Walimu wote wakajibu hawaikubali.Akajibu nyie mkiulizwa kwanini hamuikubali ndo mtajua sababu.

My Take:Matokeo makubwa sasa yatawezekanaje ikiwa walimu wamesema hawaitekelezi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Walimu wamestushwa na kiwango cha Allowance ya Sh 20000 kwa siku na semina inaanza saa 1:30asubuh hadi saa 10:30 jion bila kuzingatia umbali wa maeneo wanayotoka wanasemina.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Haina maana kwa kweli. Shetani yuleyule unadhani ukimbadilisha rangi atakuwa malaika?????? Tuache uyani na hii BRN
 
tunaanzisha sera nzuri but utekelezaji F wapi KILIMO KWANZA? hiyo BRN sijuiiii
 
Big results now... Kweli CCM wapumbavu kweli.
Ndani ya semina mseminishaji kaulizwa"Mbona huu mpango unaonekana wakisiasa zaidi kuliko uhalisia?"
Jibu
"Kama wanavyoichukulia nawewe ichukulie hivyo hivyo wangekuwa wanamaanisha mngeambiwa mje na leam?"

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
BRN ianzie kwenye salary kwanza ndo itatekelezeka...
la sivo hakuna cha big result hapa
 
Nikisika hilo neno nasiki akichefu chefu cha nguvu! hii nchi inaelekea tamati
 
Hili BRN lao kimeo haiwezekan kabisa watachek pich tu.
 
Haya ndiyo matokeo ya kuanzisha mipango toka juu kushuka chini. Huenda wao wangeanzisha namna bora zaidi ya kuboresha elimu kuliko ambavyo ungedhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…