Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Akizungumza na walimu walioudhulia semina ya Matokeo makubwa sasa inayofanyika katika shule ya sekondari Iyunga Afisa Elimu wa Jiji Mbeya."Alisema BRN ilianzia kwa Mawazili wakaikubali,Ikaletwa kwa maafisa elimu wakaikubali,ikapelekwa kwa wakuu washule wakaikubali, Sasa naileta kwenu walimu ambao ndo watekelezaji je mnaikubali? Walimu wote wakajibu hawaikubali.Akajibu nyie mkiulizwa kwanini hamuikubali ndo mtajua sababu.
My Take:Matokeo makubwa sasa yatawezekanaje ikiwa walimu wamesema hawaitekelezi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
My Take:Matokeo makubwa sasa yatawezekanaje ikiwa walimu wamesema hawaitekelezi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums