Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Cha msingi ni kujipatia kipato cha halali.
Alafu hiyo ni kazi km kazi zingine,tofauti ni pale unapokuwa hauna utimamu wa akili.
I
 
Kosa ni la nani hapo kati ya muajiri na muajiriwa?

Lkn pia hakuna Mwl anayependa ualimu,ila USIPO PATA UNACHO KIPENDA,PENDA ULICHOPATA.

Ukizingatia hayo maandishi ya herufi kubwa hata kipato unachopata utaweza kukitumia kwa matumizi chanya na wala maradhi ya msongo wa mawazo km yanayo muandama Mwl Mpwayungu Village hayata kupata.
Uonevu na unyanyasaji tunaofanyiwa watumishi haufahi na hasa zaidi kwa Walimu na zaidi sana Walimu wa shule za Msingi.

Uoga wa Walimu unaanzia mbali sana,muulize mtu anayeishi karibu na vyuo vya kati (vinavyotoa mafunzo ya ualimu ngazi ya astashahada na stashahada atakwambia namna wanavyo lelewa).

Pili ni mfumo wa kipuuzi wa itikadi za CCM,hapa hawa jamaa unakuta tu uvccm tuna watisha wenzao (usipokuwa mwanachama ajira utazisikia magazetini na hata suala la kufukuzwa chuo kwako ni km kufuta maandishi yaliyo andikwa kwa kalamu ya risasi). Ndiyo maana utaona hata mchakato wa kutuma maombi ya ajira au mikopo ya elimu ya juu miongoni mwa waombaji wanaambatanisha kadi za uanachama.

Nenda halmashauri yoyote,weka kambi nje karibu na lango la kuingilia,walimu wote wanaoingia pale utawatambua hata km wewe ni mgeni.
Kwa nini inakuwa rahisi kuwatambua?
Ni kwa7bu ya mazoea yalipo miongoni mwa watoa huduma ktkt ofisi za halmashauri,Mwl atakalipiwa hata km hakuna ulazima huo. Lkn pia ni tabia za walimu kuendelea kuviishi vitisho vya vyuoni,sasa ni mwendo wa kuambukizana.

Mwl akiwa anajitambua,hakalipiwi.
Isipokuwa watoa huduma watambatiza jina la msumbufu au mjuaji.
Sasa hapa Mwl akiwa anahitaji huduma ambayo haihitaji hata muda wa dakika 5,inaweza ikamchukua siku 1 na kuendelea.

Madhara yake ni nini?
Taifa lina rudi nyuma kimaendeleo kwakuwa mtu m1 wa halmashauri kakataa kumhudumia mtu m1 ambaye anahudumia watu kuanzia 500 kwa siku 1.

Madhara mengine ni kuwa na wa taalamu wasio jiamini. Mtaalamu wa namna hii kutengeneza mtaalamu mwenye ufanisi ktk kazi nafasi yake ni ndogo sana. Anakuwa amejawa mashaka ktk kila nyanja kwakuwa mtu anaye fanya naye kazi kwa karibu (halmashauri)ana mnyanyapaa na kumnyanyasa.

Mfano,niseme ndugu yetu Mpwayungu ni Mwl,
Unadhani mtoto anaye fundishwa na Mwl Mpwayungu Village ana hali gani?

Je Mpwayungu Village anafundisha na kulea watoto wa ngapi?

Tuna liangamiza Taifa letu sisi tulio aminiwa na kupewa dhamana.
Leo hii mmomonyoko wa maadili siyo suala linalo hitaji maelezo meeeengi.

Mwl Mpwayungu Village ana tamani ange zaliwa mwanamke,huenda maafisa wenzake walioko halmashauri wasingekuwa wana mnyanyasa sana kwani kuna wengine ange wafungulia tu malango ya ikulu hivyo kupata ka mseleleko chapu.

Nakaribisha kukosolewa na ushauri.
 
Wahuni wanaulizia connection daah hizi mambo sio...mwanzo nilijua ni mashine ya jamiifirums ila nimegundua ni mswahili mmoja aliwahi pita DUCE akakamatwa semester ya pili...
Dr mhajida alimkamata World History Before 1500 A.D
 
Nalo neno
 
Kuna chuo kikiuu gani kinachukua div IV na 0?!?!

Waliosoma Kilimanjaro polytechnic utawajua tu...
 
Kuna chuo kikiuu gani kinachukua div IV na 0?!?!

Waliosoma Kilimanjaro polytechnic utawajua tu...
Acha ubishi usio na maana ndugu mwalimu.

Kuna madogo nimewafanyia application za ualimu ngazi ya cheti minimum qualifications ilikuwa division four points 28.

Sio mimi, ndugu wala wanangu ambaye ataenda ualimu hata iweje.

Mimi nipo kwenye kada ya sheria mkuu na waliobaki wapo udaktari, uchumi na uinjinia.

Kuna mdogo wangu kapata division one points 7 form four nimemwambia aachane na habari za form 5&6 badala yake yupo UDSM akisomea engineering ngazi ya certificate then ataendelea hadi ndoto zake kama PhD ama vinginevyo.
 
Kuna chuo kikiuu gani kinachukua div IV na 0?!?!

Waliosoma Kilimanjaro polytechnic utawajua tu...
Sasa mtu wa division four let say points 29 ama 30 ambapo kuna baadhi ya vyuo vinachukua unadhani atakuwa competent kwenye kazi yake?

Mwalimu hajui idadi ya mikoa ya Tanzania bara tena anafundisha darasa la 5,6 na 7 unadhani atazalisha wahitimu wa namna gani darasa la saba?
 
Kwani hilo shoga lenu linaongelea walimu gani?!?!

Kuna wa:-
1 chekechea
2 msingi
3 secondary
4 wakufunzi
5 wahadhiri

Kuna wa serikali na private.

Mwambieni aache ushoga maana ubongo wake unaoza
 
Ajira ni shida, atakubali kibarua kiote majani? Usiwachukie ila wahamasishe wawe na umoja, kama ni kukataa michango waikatae kwa pamoja.
 
Acheni ujinga for your information kama mtu Hana division 1 au 2 hawezi kupata nafasi DUCE na MUCE
 
Mpaka leo unakuja kuandika kuhusu kuwatukana walimu kumbuka ndio wamekufundisha kusoma na kuandika.hadi umepata jeuri ya kuandika haya yote unayoyaleta humu JF
Ukiachana na hali ngumu ya maisha ya walimu wengi unapaswa kuwaheshimu walimu kwa kukufanya leo hii uwe mtu. Huo ndio ustaarabu.
 
Chaguzi za CCM zilizopita wengi Sana wameomba na kuchaguliwa KUWA viongozi wa CCM, sijui huko kwako
 
Hakuna mwalimu huyu kwa msimamo wangu na nalijua hili kwakua najua huwa wagumu kujiongeza kibiashara.

Ukiona mwalimu ana million mia tu ujue huyo kastaafu juzi na baada ya wiki mbili utakuta kanunua pikipiki na anaanza ujenzi wa nyumba isiyozidi million ishirini.

Jana Kuna mwalimu kalawiti mtoto wa darasa la tatu chooni, yani unafanya mapenzi kwenye vyoo??

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…