Walimu mnaweza kujiajiri

Walimu mnaweza kujiajiri

Sijui kwasababu shule ilikuwa na walimu wa kike tu,nimekuwa nikiamini ualimu ni kazi ya wanawake ghafla nikaanza kuona wanaume nao ni walimu
 
hili jamaaa nimelipenda muone shigongo, mimi si mwalimu lakini kwa hesabu ya haraka kiwanja nacho ulipata mkopo au cha babu, maana hiyo hesabu yako haingii akilini
kiwanja kinachosajiliwa kwa shule ni eka 2, fanya kuwa ulinunua milioni 5, je ulikuwa unagumdisha wanafunzi wangapi, kusajili shule au chuo kuna level za form
 
Mkuu! mpaka leo hatujamalizia kulipia eneo, kwa bahati nzuri sana eneo ni la Mjomba wake na mwenzangu ambaye tunayeshirikiana hapa, tulianza kumpa pesa kidogo kidgo akasogea nje ya mji toka waka 20121 na bado hatujamaliza kumlipa.Wakati tunapata wazo hilo tulikua na centre ya tuition huko mjini, na yeye ndiye aliyetupa mawazo hayo, pia ni mwalim mstaafu. Ndugu yangu usajili wa chuo sio sawa na wa shule na procedures zake ni tofauti sana.
 
Mtoa mada achana na walimu wana laana hao za kuiba kura za wanyonge wacha wakalipwe laki tatu hizo wakanyww ulanzi na chimpumu vijijini huko. Wamelizika kuchomekea mashati yao ya vitenge
 
Kwa hiyo cc wahitimu zaid ya 40'000 tukifungua tuition centers+shule unadhan itakuwaje? Itaitwa Tuition Centers Revolution au mapinduz ya vituo vya Tuition au tutaitaje? Hakikia nmeamini kuna kusoma na kuelimika, ww utakuwa msomi ambaye hujielewi na hujui unacho kisema!! Am done
 
Mtoa mada achana na walimu wana laana hao za kuiba kura za wanyonge wacha wakalipwe laki tatu hizo wakanyww ulanzi na chimpumu vijijini huko. Wamelizika kuchomekea mashati yao ya vitenge

Kwa hali hii sitokaa nishawishike kumshauri mwanangu akasomee ualimu japo na mimi ni mwalimu,na ndio maana nimetoka na kuchukua biashara. Walimu walio wengi ni wajinga wajinga, werevu ni wachache sana, Nasema ni wajinga Kutokana na matusi yao humu.
 
mtoa mada yko safi sema ni muda upi MTU unafaa kumuonyesha mambo hayo,not now maana watu wako kwenye peak ya mtazamo chanya na unsbiliwa kwa hamu
 
hapa nimejifunza mambo mawili tuu.
kwanza mleta mada ni muongo kama ni mkweli mbona hataji jina la chuo anachomiliki???
pili mwaka huu serikali ni bora isiajiri kwani wahitimu wa mwaka huu hawana haiba ya ualimu wengi ni wahuni tuu yani mwalimu mzima unashindwa kujibu hoja kwa hoja unatukana???yani unataja viungo vya siiri vya mama yako hovyo hovyo tu kama mlevi???
na ndio maana walimu tunadharauliwa hata na madera bodaboda . pumbavuuuuuuu..
 
Kwa hali hii sitokaa nishawishike kumshauri mwanangu akasomee ualimu japo na mimi ni mwalimu,na ndio maana nimetoka na kuchukua biashara. Walimu walio wengi ni wajinga wajinga, werevu ni wachache sana, Nasema ni wajinga Kutokana na matusi yao humu.

Siku hizi hakuna walimu kuna wajinga wanaolekezwa namna ya kulisha ujinga watoto.. Hivi walimu kama awa unawezaje kumpa mwanao hamfundishe ilihali yeye mwenyewe hana maarifa K ichwani anafuata mshahara hajui ata yupo dunia hipi.

Mwalimu unaona Kufungua chuo ni inshu? Sasa huko chuoni mlikuwa mnafundishwa kushika chaki peke yake? Vyuo mnasubiri wafungue wengine nyie mpewe ajira haya bana subirieni kutuibia kura zetu safari hii tuna nyie
 
Nijibu haya maswali
1.ili usajiri chuo unapaswa uwe na eneo la ukubwa gani kwa sehemu za miji au vijiji?
2.Unapaswa usajiri wako uanzie ngazi ipi na huishia wapi?
3.Nipe hatua,za usajiri wa chuo kama chako ngazi ya halmashauri
4.Ni vitu au mambo gani wapaswa kuwa nayo au kuwasilisha wizarani ili kupata kibali/reg.no?
 
Mkuu kwa maswali inaelekea unafahamu utaratibu, Unataka na wewe kuleta propaganda humu.Kama unataka kuanzisha chuo/Shule nenda wizarani au kwa sas hata NACTE utapewa structure ilivyo.Vinginevyo na wewe ni wale wale tunaowazungumzia humu, In short hata ukifungua website yao maelezo yapo.
 
mkuu tubadilishane uzoefu kabla hujawashauri walimu wafungue vyuo hebu jibu hayo maswali wajue ulivyosajiri chuo na ni vitu gani wawe navyo na changamoto gani watazipata huko toa uzoefu wako
 
Nijibu haya maswali
1.ili usajiri chuo unapaswa uwe na eneo la ukubwa gani kwa sehemu za miji au vijiji?
2.Unapaswa usajiri wako uanzie ngazi ipi na huishia wapi?
3.Nipe hatua,za usajiri wa chuo kama chako ngazi ya halmashauri
4.Ni vitu au mambo gani wapaswa kuwa nayo au kuwasilisha wizarani ili kupata kibali/reg.no?

Kuna jamaa yangu ana chuo kakianzisha huko kibamba wala hakuna mambo meengi.

Uwe na majengo yenye nafasi, uwe na vifaa vya kufundisha.

Kisha unaenda brela wanakusajili.

Kisha unaanda mtaala unapeleka nacte.

Wanakuja kukagua vitu kama vifaa vinavyoendana na course unazotoa e.g unatoa it lazima uwe na makompyuta ya kutosha (jamaa yangu aliazima kuonyeshea)

Wanakupa usajili wa muda.

Unaanza kupiga mzigo unatakuwa kuwa na watu wenye sifa matutor.

Utapiga hela mpaka uzikimbue. We gharama ni matangazo TV na redio au magazeti ya bei rahisi.

Haina ajq ya eneo kodi kwanza jengo.
 
Kama uko mkoani unaweza kupata ushauri ofisi za kanda na ukaanza na process za kujenga bila kupoteza muda na baada ya hapo ndio unaweza kwenda moja kwa moja NACTE kukutana na director wa baraza la usajili,Zamani tulikua tunaanzia wizarani, Ikumbukwe kua utapewa namba za usajili wa muda wakati upo kwenye matazamio.
 
hapa nimejifunza mambo mawili tuu.
kwanza mleta mada ni muongo kama ni mkweli mbona hataji jina la chuo anachomiliki???
pili mwaka huu serikali ni bora isiajiri kwani wahitimu wa mwaka huu hawana haiba ya ualimu wengi ni wahuni tuu yani mwalimu mzima unashindwa kujibu hoja kwa hoja unatukana???yani unataja viungo vya siiri vya mama yako hovyo hovyo tu kama mlevi???
na ndio maana walimu tunadharauliwa hata na madera bodaboda . pumbavuuuuuuu..

mbona wabunge na mawazir wanatukana na tunawaita waheshimiwa?
 
ni ushauri mzuri sana nashangaa mtu antoa matusi kwenye jambo ambalo angelifanyia kazi na kufaulu
 
Kuna jamaa yangu ana chuo kakianzisha huko kibamba wala hakuna mambo meengi.

Uwe na majengo yenye nafasi, uwe na vifaa vya kufundisha.

Kisha unaenda brela wanakusajili.

Kisha unaanda mtaala unapeleka nacte.

Wanakuja kukagua vitu kama vifaa vinavyoendana na course unazotoa e.g unatoa it lazima uwe na makompyuta ya kutosha (jamaa yangu aliazima kuonyeshea)

Wanakupa usajili wa muda.

Unaanza kupiga mzigo unatakuwa kuwa na watu wenye sifa matutor.

Utapiga hela mpaka uzikimbue. We gharama ni matangazo TV na redio au magazeti ya bei rahisi.

Haina ajq ya eneo kodi kwanza jengo.

mkuu vyuo vya ualimu bado vilikua chini ya moe wala havikua Nacte so usajiri wake haukua/haupo mteremko hivyo unavyosema kama vyuo vya IT huyu jamaa ameongea ----- wa kutunga kashindwa kujibu japo kama ulivyopost si unaona amekimbia
 
mi nimependa wazo la mleta maada
kama mtu una akil na unawaza kujikwamua kimaisha sidhan kama hutalipenda wazo lake hata kama amedanganya
binafs nitalifanyia kaz niktoka chuo nasave coz had mwaka 2oi7 ajira za walm ztabak kama story tu kuwa enz zet tulikuwa tunapata ajira kwa wing
big up mleta maada
 
mkuu vyuo vya ualimu bado vilikua chini ya moe wala havikua Nacte so usajiri wake haukua/haupo mteremko hivyo unavyosema kama vyuo vya IT huyu jamaa ameongea ----- wa kutunga kashindwa kujibu japo kama ulivyopost si unaona amekimbia

Chuo nachozungumzia kinatoa certificate na diploma za biashara it na mass communication.... Hiyo ya ualimu sijajua process yake ila sidhani kuwa haiwezekaniki
 
Back
Top Bottom