GANJA ROLLER
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 709
- 273
hili jamaaa nimelipenda muone shigongo, mimi si mwalimu lakini kwa hesabu ya haraka kiwanja nacho ulipata mkopo au cha babu, maana hiyo hesabu yako haingii akilini
kiwanja kinachosajiliwa kwa shule ni eka 2, fanya kuwa ulinunua milioni 5, je ulikuwa unagumdisha wanafunzi wangapi, kusajili shule au chuo kuna level za form
Mtoa mada achana na walimu wana laana hao za kuiba kura za wanyonge wacha wakalipwe laki tatu hizo wakanyww ulanzi na chimpumu vijijini huko. Wamelizika kuchomekea mashati yao ya vitenge
Kwa hali hii sitokaa nishawishike kumshauri mwanangu akasomee ualimu japo na mimi ni mwalimu,na ndio maana nimetoka na kuchukua biashara. Walimu walio wengi ni wajinga wajinga, werevu ni wachache sana, Nasema ni wajinga Kutokana na matusi yao humu.
Nijibu haya maswali
1.ili usajiri chuo unapaswa uwe na eneo la ukubwa gani kwa sehemu za miji au vijiji?
2.Unapaswa usajiri wako uanzie ngazi ipi na huishia wapi?
3.Nipe hatua,za usajiri wa chuo kama chako ngazi ya halmashauri
4.Ni vitu au mambo gani wapaswa kuwa nayo au kuwasilisha wizarani ili kupata kibali/reg.no?
Mkuu kwa maswali inaelekea unafahamu utaratibu, Unataka na wewe kuleta propaganda humu.Kama unataka kuanzisha chuo/Shule nenda wizarani au kwa sas hata NACTE utapewa structure ilivyo.Vinginevyo na wewe ni wale wale tunaowazungumzia humu, In short hata ukifungua website yao maelezo yapo.
Nijibu haya maswali
1.ili usajiri chuo unapaswa uwe na eneo la ukubwa gani kwa sehemu za miji au vijiji?
2.Unapaswa usajiri wako uanzie ngazi ipi na huishia wapi?
3.Nipe hatua,za usajiri wa chuo kama chako ngazi ya halmashauri
4.Ni vitu au mambo gani wapaswa kuwa nayo au kuwasilisha wizarani ili kupata kibali/reg.no?
Kuna jamaa yangu ana chuo kakianzisha huko kibamba wala hakuna mambo meengi.
Uwe na majengo yenye nafasi, uwe na vifaa vya kufundisha.
Kisha unaenda brela wanakusajili.
Kisha unaanda mtaala unapeleka nacte.
Wanakuja kukagua vitu kama vifaa vinavyoendana na course unazotoa e.g unatoa it lazima uwe na makompyuta ya kutosha (jamaa yangu aliazima kuonyeshea)
Wanakupa usajili wa muda.
Unaanza kupiga mzigo unatakuwa kuwa na watu wenye sifa matutor.
Utapiga hela mpaka uzikimbue. We gharama ni matangazo TV na redio au magazeti ya bei rahisi.
Haina ajq ya eneo kodi kwanza jengo.
hapa nimejifunza mambo mawili tuu.
kwanza mleta mada ni muongo kama ni mkweli mbona hataji jina la chuo anachomiliki???
pili mwaka huu serikali ni bora isiajiri kwani wahitimu wa mwaka huu hawana haiba ya ualimu wengi ni wahuni tuu yani mwalimu mzima unashindwa kujibu hoja kwa hoja unatukana???yani unataja viungo vya siiri vya mama yako hovyo hovyo tu kama mlevi???
na ndio maana walimu tunadharauliwa hata na madera bodaboda . pumbavuuuuuuu..
Kuna jamaa yangu ana chuo kakianzisha huko kibamba wala hakuna mambo meengi.
Uwe na majengo yenye nafasi, uwe na vifaa vya kufundisha.
Kisha unaenda brela wanakusajili.
Kisha unaanda mtaala unapeleka nacte.
Wanakuja kukagua vitu kama vifaa vinavyoendana na course unazotoa e.g unatoa it lazima uwe na makompyuta ya kutosha (jamaa yangu aliazima kuonyeshea)
Wanakupa usajili wa muda.
Unaanza kupiga mzigo unatakuwa kuwa na watu wenye sifa matutor.
Utapiga hela mpaka uzikimbue. We gharama ni matangazo TV na redio au magazeti ya bei rahisi.
Haina ajq ya eneo kodi kwanza jengo.
mkuu vyuo vya ualimu bado vilikua chini ya moe wala havikua Nacte so usajiri wake haukua/haupo mteremko hivyo unavyosema kama vyuo vya IT huyu jamaa ameongea ----- wa kutunga kashindwa kujibu japo kama ulivyopost si unaona amekimbia