Ndio taratibu zao zilivyo hivyo Mkuu ?
Akomae tu! mie sio mwalimu ila mshahara nilianza kupata baada ya miez 3..Sasa kama kijana anatokea mkoa wa KIGOMA na ameajiriwa Manyara Kwa mfano ..iyo miezi mitatu anaishi ishi vipi?
Bwana mdogo kafanye kazi ukiikosa hiyo utaweza kutoka nje ya box??Jamaa wanazingua sana,mimi siwezi kwenda kuanza kufanya kazi mpaka nihakikishe mshahara umesoma.