Uvundo80
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 280
- 255
Habari wanajamvi....kuna yeyote Mwenye ufahamu kuhusu walimu walioajiriwa mwezi June / July wa Shule za msingi mwaka huu 2018 kuwa hawajaingizwa kwenye mfumo wa ulipwaji mishahara (Payroll) ...Na mpaka Leo hawajapata mishahara?
Mwenye uhakika wa hili please!
Mwenye uhakika wa hili please!