Walimu musipumbazwe na kota jengeni nyumba zenu binafisi kuna kustaafu

Walimu musipumbazwe na kota jengeni nyumba zenu binafisi kuna kustaafu

Kikwava

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
1,741
Reaction score
1,068
Utangulizi
Tunajua kwasasa walimu mnajiendeleza kimasomo, huko mashuleni kuna Masters na PhD chache jueni kuwa serikali yetu nisikivu ipo siku utawekwa muundo wa kiutumishi kwenye hizo Masters na PhD.

Niwaase walimu usikae kota zaidi ya miaka 5, jibane ukope mkopo bank usiogope kusemwa unamikopo mingi, kopa Jenga nyumba yako kabla hujaanza kubanwa na majukum yakusomesha watoto.

Huwa ni aibu kuona mwalimu mstaafu baada ya kustaafu anaandika barua ya kuomba kuendelea kuishi kwenye nyumba za serikali ni aibu mno.

Hii ni kuelimishana kwa manufaa ya Watumishi wote
 
Back
Top Bottom