Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi hakuna nyumba za walimu mashuleni bwn,usipotoshe umma.walimu wengi wana nyumba zao na wengine wamepanga.hili la kujiendeleza kielimu umeshauri vemaMasters
Hakuna nyumba za walimu kwenye maeneo yako Ila huku niliko kuna nyumba za walimuSiku hizi hakuna nyumba za walimu mashuleni bwn,usipotoshe umma.walimu wengi wana nyumba zao na wengine wamepanga.hili la kujiendeleza kielimu umeshauri vema
Hizo kota ziko shule gani ndugu?Utangulizi
Tunajua kwasasa walimu mnajiendeleza kimasomo, huko mashuleni kuna Masters na PhD chache jueni kuwa serikali yetu nisikivu ipo siku utawekwa muundo wa kiutumishi kwenye hizo Masters na PhD.
Niwaase walimu usikae kota zaidi ya miaka 5, jibane ukope mkopo bank usiogope kusemwa unamikopo mingi, kopa Jenga nyumba yako kabla hujaanza kubanwa na majukum yakusomesha watoto.
Huwa ni aibu kuona mwalimu mstaafu baada ya kustaafu anaandika barua ya kuomba kuendelea kuishi kwenye nyumba za serikali ni aibu mno.
Hii ni kuelimishana kwa manufaa ya Watumishi wote
Umesoma vzr nilchoandkWewe huwa unakuwa na wivu kwenye vitu vya serikali? Basi hunaakili
Hongera kwa mawazo yako kwenye comment hii mkuu!Unapouliza swali Jiulize kwanza ww ndo uulize wengine, mbona unauliza swali Kama mtoto mdogo, kwahyo hakuna shule zenye nyumba za walimu au hujui maana ya kota? Hebu ondoa ujinga wako hapa