Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Ulitaka wote waajiliwe waje kupiga story tu. Nafasi hazipoYatamkuta professor Mkenda hayo kwenye kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka wote waajiliwe waje kupiga story tu. Nafasi hazipoYatamkuta professor Mkenda hayo kwenye kura
Hata yeye zile story anazopiga pale atazimisiUlitaka wote waajiliwe waje kupiga story tu. Nafasi hazipo
kaka ongera ya nin wakat hiyo 70 ni namb ambayo mim haijaniongezea chochte naendelea kupgiwa na jua huku mtaanHongera
shukran kaka kwa taarifa. unayo pdf ya hilo tangazo nilipitie.Omba ajila za zima moto wanataka mtu aliyesoma English never give up najua machungu ya kukandwa mi niliongoza written na oral nikapigwa K.O. nikajipanga upya mpaka kutoboa
Hehehekaka heri hata nijinyonge nikapumzike hizi hekahka za maisha ya ujobless inauma sana.
Si ukalime tu brokaka heri hata nijinyonge nikapumzike hizi hekahka za maisha ya ujobless inauma sana.
HeheheHata sisi pia tulikandwa kisawasawa na utumishi, 😁😁😁, ndo tukafika nchi ya ahadi..
HeheheWaendelee kukaa mtaani tena kusubiri kazi ya ualimu serikalin 😂
Utumishi shikilieni hapo hapo, msiachie.
Usaili ni lazima na ndio njia ya haki kupata wahusika.
ndo tunalima huku kaka, tatzo kilimo chenyew bila mitaj hakina tija.Si ukalime tu bro
Mtaji si nguvu zako aundo tunalima huku kaka, tatzo kilimo chenyew bila mitaj hakina tija.
Ingia apa ajira.zimamoto.go.tzshukran kaka kwa taarifa. unayo pdf ya hilo tangazo nilipitie.
Wewe sio wa kwanza kukosa kazi Wala kua jobless watu wanapitia mazito kuliko hili unalopitia wewe sasa.kaka heri hata nijinyonge nikapumzike hizi hekahka za maisha ya ujobless inauma sana.
mkuu me siwezi kufa kizembe hvo, haya ya ajira yashapita sahz nawaza mengne.Wewe sio wa kwanza kukosa kazi Wala kua jobless watu wanapitia mazito kuliko hili unalopitia wewe sasa.
Watu wapo miaka Mingi mtaani hawana kazi na hawana mawazo ya kujiua halafu ukiona hapo mtaani watu watakusema vibaya hama mji nenda mji mwingine ukafanye kazi yeyote ambapo watu hawaja kuzoea
Kuna mtu sasa hivi anatamani wewe ulivyo unakuta yupo hoi hospitali Hana ndugu wakumsaidia na hajui anatapona lini anachowaza apate tu afya aje mtaani.
Unawaza nini tena Vini JRmkuu me siwezi kufa kizembe hvo, haya ya ajira yashapita sahz nawaza mengne.
kwenda kurudusha AMAN DRCUnawaza nini tena Vini JR
Naona hii jioni umepiga maji yako safi ili kuondoa stress za ujoblesskwenda kurudusha AMAN DRC
Hapa nimetoka kuchek game ya yanga na mwanang flan ko tumetulia sehem kuna kamrad flan tunakabun mkuu.Naona hii jioni umepiga maji yako safi ili kuondoa stress za ujobless