Walimu na wanafunzi wa Fizikia - Tamkeni vema jina Albert Einstein

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Najua si watu wengi hapa kwetu wamejifunza lugha ya Kijerumani na wala siwalaumu walimu wetu wa Fizikia kwa kutolitamka vema jina la nguli wa hisabati na newtonian mechanics - Albert Einstein. Tafadhalini walimu na wanafunzi tamkeni jina lake hivi: ALBART AINSHTAIN. Kwenye sarufi ( grammar) ya kijerumani herufi s na t ( st) zikifuatana hutamkwa "sht" na e na i zikifuatana (ei) hutamkwa "ai".

Natumaini mtazingatia.
 
Danke
 
Back
Top Bottom