Utakuta uandishi wa jumbe umebadilika sana. Mfano xaxa akimaanisha sasa. Wa2 akimaanisha watu. Hivi uandishi huu unakuza lugha katika uandishi? Nisaidieni hiyo Elimu ya uandishi huu vijana wa umepata shule gani? Kazi Kwenu wachambuzi.
Uandishi huu huwezi kuukuta ktk uandishi rasmi ila unakubalika ktk uandishi wa ujumbe mfupi ili kuendana mantiki ya ujumbe mfupi. Haikubaliki kuandika ujumbe mfupi kisha ukaonekana km barua au habar.