mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Tukiachana na ubora wa Magufuli au mbwembwe za Lissu(almaarufu mwanasheria) kuna huyu mgombea ambaye pamoja na ubora wa pointi anayoishupalia, watu tumeziba masikio yetu na kumpuuza.
Huyu bwana dunia nzima hasa nchi za mabeberu zinafuata sera yake lakini kwetu tumeipokea kwa dharau kubwa na hata kumdhihaki.
Kinachonishangaza hata wabobezi wa sera lengwa wamenyima ushirikiano na kuwang'ang'ana na Magufuli na mwenzake Lissu tu,mfano kwenye sera hiyo Magufuli kaahidi komputa tena kwa kila mwalimu tumeshangilia, Lissu naye kajinasibu kuboresha kwa kuwapunguzia riba na akaenda zaidi na kuahidi watalipa kwa miaka hata 20 mikopo ya elimu ya juu(hapa tulishangilia hadi tukaachia ushuzi) Hivi sisi tutakuwa wajinga hata lini.
Yule mgombea kaja na tiba mashuleni watu wanamdhihaki!! wazazi na walimu ni mara ngapi tumekaa vikaoni kulitatua na tumeshindwa ama hatukujaribu kabisa au tulijaribu tukaishia njiani?
Ni mara ngapi wazazi tumeshindwa kuchangizana japo 5000 kwa mwezi kwenye kamati zetu za wazazi
Sasa leo mtatuzi amefika mnamwona kama kikaragosi!!? hivi watanzania ni nani aliyeturoga? Hivi kompyuta zitafaa nini kama mwanafunzi ana njaa? au tutakuwaje na wahitimu wengi wa kupata hiyo mikopo?
WALIMU hili mnalijua vizuri tu ili mwanafunzi aelewe anatakiwa ashibe,huyu mgombea kaja na wali kabisa!Hivi kuna mwanafunzi hapagawi na wali kweli.,mnakumbuka siku za wali kipindi tupo mashuleni tukivyougombea kama wale waumini wakiogombea mafuta ya upako? Hamkumbuki? kama mwakumbuka hayo kwanini hatumpi sapoti ya kutosha japo kujazana kwenye mikutano yake?
Rungwe watanzania walio wengi hawajitambui na ndio maana wanasiasa kama akina mbowe wananufaika kupitia kutojitambua kwao
RUNGWE hata wasipojitokeza kwenye mikutano yako usijali, nakuhakikishia hawa watu mpaka wanaingia uchaguzi huu hawajui wanataka nini, mfano raisi aliyopo amejenga barabara wanasema hata jereman alijenga, kanunua ndege wanasema matumizi mabaya ya pesa watu hawali ndege lakini cha kushangaza hawapiti porini wakisafiri!
RUNGWE kama wamemdhihaki huyu aliyejaribu wewe je?
Cha kushangaza watakunyima kura oct 28 oct 29 wanakaa vikao mashuleni kujadili chakula mashuleni looh!
MWISHO nasema woooote wangekudharau lakini hata walimu?