walimu nchini kenya wameanza mgomo wao leo kushinikiza nyongeza ya mshahara kwa 300%,je walimu tanzania mbona kimya vp au mmesha tatuliwa matatizo yenu kimya kimya au mnaogopa kutekwa.
source tbccm.
Walimu wetu ni waoga sana,alaf isitoshe wengi wametoka familia za kimaskin hivyo kabla ya kugoma anafikiria akifukuzwa kaz itakuwaje ?
Pia nashaur,jaribu kuwawekea hii post kwenye jukwaa lao,yawezekana wakawa na majibu mazuri.
hivi kuna jukwaa la walimu?