walimu nchini kenya waanza mgomo wao leo,je walimu wa TZ mnaaza lini?

walimu nchini kenya waanza mgomo wao leo,je walimu wa TZ mnaaza lini?

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,570
walimu nchini kenya wameanza mgomo wao leo kushinikiza nyongeza ya mshahara kwa 300%,je walimu tanzania mbona kimya vp au mmesha tatuliwa matatizo yenu kimya kimya au mnaogopa kutekwa.
source tbccm.
 
Wanasubiri alawansi za Sensa na mtihani wa LY na wa Form Four. Huenda wakagoma mwakani kama hakutakuwa na kongamano lolote la kulipwa.
 
walimu nchini kenya wameanza mgomo wao leo kushinikiza nyongeza ya mshahara kwa 300%,je walimu tanzania mbona kimya vp au mmesha tatuliwa matatizo yenu kimya kimya au mnaogopa kutekwa.
source tbccm.

Mkuu walimu Wa Tanzania wanakaribia kupata posho za sensa hivyo wameahirisha mgomo wao, Kenya chama cha Walimu KNUT kipo imara sana nimemuona mwenyekiti wao akiongea Citizen TV news, Serikali Yao itawasikiliza Kama ilivyosikiliza madaktari wao kuweka vifaa na kuboresha mazingira ya kazi na posho stahiki
 
UGANDA wapo siku ya Tatu ya mgomo pia, Grasias Mkoba sijui yupo wapi?
 
walimu njooni mtupe majibu au mmeridhika.
 
Uganda wapo kwenye mgomo,Kenya wameanza labda Jk sasa ni Rais wa East African Community!
 
hawa wa kwetu wana imani kubwa sana na serikali hivyo wanasubiri maamuzi wa serikali
 
Walimu wetu ni waoga sana,alaf isitoshe wengi wametoka familia za kimaskin hivyo kabla ya kugoma anafikiria akifukuzwa kaz itakuwaje ?

Pia nashaur,jaribu kuwawekea hii post kwenye jukwaa lao,yawezekana wakawa na majibu mazuri.
 
hivi kuna jukwaa la walimu?
 
Walimu Wa Bongo hawawezi na hawatakaa wagome kamwe, Kwanza yule Raisi wao Mkoba ni CCM damu na Mtangulizi wake Mrs Sita naye alikuwa CCM damu sasa hapo unategemea kuna kugoma?
Na ishu nyingine ni kwamba Walimu ndo wanaongoza kwa kufoji vyeti na wengi wao wanatumia vyeti vya ndugu zao sasa atagoma vipi wakati yeye kuwa mwalimu ni moja ya Bahati kubwa sana ni sawa na Mtu Kuokota Jiwe za Dhahabu
 
Ungejua vyeti vya hao walimu wala usinge hoji kugoma kwao.unakumbuka wale walimu wa voda fasta?? Unategemea agome alafu aje aambiwe rudi kwa kuwasilisha vyeti vyako,bado kuna wale waliofoji vyeti kuanzia primary mpaka jina.wapotezee hao wameridhika na wanachopata.
 
degree 469,000/= ,diploma 325,000/=,certificate 244,400/ lazma walimu wa tz mgome alaaa
 
ee bana kugoam tunaweza ila sema tu viongozi wetu akina mkoba ndo wanajipendekeza kwa magamba huku wakijua hawawezi kuwasaidia lolote tofauti na matusi.uongozi wetu haufai kabisa na ndo maana wengine ciku za nyuma walitangaza kuajiengua na cwt.
 
Back
Top Bottom