Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
tena ni mjinga kabisa.analeta story za uongo uongomtoa mada umechemka!!kaandae ujinga mwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena ni mjinga kabisa.analeta story za uongo uongomtoa mada umechemka!!kaandae ujinga mwingine.
Aiseee, kumbe...... kama tumeshindwa kuwalipa walimu sijui kama tutaweza kuwalipa psychotherapists ambao kimsingi ni wachache mno hapa kwetu. otherwise uwe unachanganya baina ya social workers na psychotherapistsWapo wengi ila wanaona taabu kuapply hayo maarifa
Duh kijana amevimba utafikiri amedondokewa na ukuta kweli walimu waliofanya hivyo ni wakatili sana!View attachment 414293 Acheni unafiki wote wenye mihemko ya kutetea hawa boko haram imagine huyu ni mwanao ww ungejiskiaje