Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 3,979 Reaction score 5,146 Oct 8, 2016 #21 mwayena said: mtoa mada umechemka!!kaandae ujinga mwingine. Click to expand... tena ni mjinga kabisa.analeta story za uongo uongo
mwayena said: mtoa mada umechemka!!kaandae ujinga mwingine. Click to expand... tena ni mjinga kabisa.analeta story za uongo uongo
L Levictus JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 646 Reaction score 524 Oct 8, 2016 #22 marxlups said: Wapo wengi ila wanaona taabu kuapply hayo maarifa Click to expand... Aiseee, kumbe...... kama tumeshindwa kuwalipa walimu sijui kama tutaweza kuwalipa psychotherapists ambao kimsingi ni wachache mno hapa kwetu. otherwise uwe unachanganya baina ya social workers na psychotherapists
marxlups said: Wapo wengi ila wanaona taabu kuapply hayo maarifa Click to expand... Aiseee, kumbe...... kama tumeshindwa kuwalipa walimu sijui kama tutaweza kuwalipa psychotherapists ambao kimsingi ni wachache mno hapa kwetu. otherwise uwe unachanganya baina ya social workers na psychotherapists
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,144 Oct 8, 2016 #23 Youngtozy1992 said: View attachment 414293 Acheni unafiki wote wenye mihemko ya kutetea hawa boko haram imagine huyu ni mwanao ww ungejiskiaje Click to expand... Duh kijana amevimba utafikiri amedondokewa na ukuta kweli walimu waliofanya hivyo ni wakatili sana!
Youngtozy1992 said: View attachment 414293 Acheni unafiki wote wenye mihemko ya kutetea hawa boko haram imagine huyu ni mwanao ww ungejiskiaje Click to expand... Duh kijana amevimba utafikiri amedondokewa na ukuta kweli walimu waliofanya hivyo ni wakatili sana!