walimu nishaurini nifanyeje

walimu nishaurini nifanyeje

ms babysitter

Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
55
Reaction score
5
Nimepangwa Arusha lakini bado nina vimeo chuo hivyo sina transcript siku ya kuripoti nifanyeje? Ngazi ya Shahada
 
Nimepangwa Arusha lakini bado nina vimeo chuo hivyo sina transcript siku ya kuripoti nifanyeje? Ngazi ya Shahada

nenda karipoti kwanza chukua lossreport police kuwa umeipoteza then ukifika hamashauri waambie umepoteza so unasubiri vyeti vitoke
 
Kwa nijuavyo unaajiriwa kwa matokeo ya semester 5 so kama unazo hizo nenda chuo kachukue partial transcript kikubwa iwe na muhuri wa dean of facult utaajiriwa kama kawa na kimeo chako utaclear....
 
Back
Top Bottom