Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila serikali sasa shule zote ziwe zinafundisha bisnex duuh wenzetu ni science na tech.Na wao wajiandae kukandwa sisi tuko Job tyr tunakula keki ya taifa maana walikua wanaulizia sana imebaki malalamiko ya kuliwa vichwa
Usaili kwa walimu upo watu tu wajiandaeNa wao wajiandae kukandwa sisi tuko Job tyr tunakula keki ya taifa maana walikua wanaulizia sana imebaki malalamiko ya kuliwa vichwa
'bisnex' ndio kitu gani hichoIla serikali sasa shule zote ziwe zinafundisha bisnex duuh wenzetu ni science na tech.
xam znabadirka kijan'bisnex' ndio kitu gani hicho
Wapo tayari kugombana na raia anayesapoti usaili badala ya kugombana na serikali iliyoamua kuwe na usaili 😂Walimu kitu hawataki kusikia ni usaili..
😂😂 😂....!!Wapo tayari kugombana na raia anayesapoti usaili badala ya kugombana na serikali iliyoamua kuwe na usaili 😂
Hakuna cha bure bure siku hizi.Walimu kitu hawataki kusikia ni usaili..
Nini faidanya shule za Sekondari kusoma history ya kigeni kuanzia form 1 hadi 6?Ila serikali sasa shule zote ziwe zinafundisha bisnex duuh wenzetu ni science na tech.