Walimu pasipo malipo ya overtime msikubali hili jambo

Walimu pasipo malipo ya overtime msikubali hili jambo

View attachment 2767309View attachment 2767310nyie ni watumishi wa umma mnaongozwa na miongozi ya kiutummishi siyo kundi furani likae chini lipange mipango yao nakuwaletea

sawa nyie ni walimu mmepewa semina yoyote elekezi ya kutimiza hili jambo

sawa nyie ni rasilimali watu je rasimali fedha zipo au kwakua ajira ni ngumu wanataka waburuza tu inauma sana na walimu hili jambo mtakaa kimya ila issue za mgao wa umeme DP WORLD mpo busy kujadili maslahi yenu mnaufyata

Hapa hata chama chenu kinaufyata sasa sijui kina watetea maslahi gani
Nawakubali Sana walimu wa Dar es salaam

Kuanzia primary Ni mwendo wa wanafunzi kwenda na pesa shuleni kwa ajili ya masomo ya ziada

Shule unakuta ina wanafunzi 2000+ halafu kila siku wanaenda
na 200 hadi 500 (jumamosi 1000 ya mitihani)

Hapo kwa kila siku mwalimu anatoka na overtime na hafundishi hiyo overtime

Walimu inabidi ifike hatua mukubali bora ifeli shule ila maisha yako yasifeli

Hakuna haja ya kuwaonea huruma wanafunzi Wala wazazi, ndio hao hao wanaowatukana kwenye mitandao ya kijamii na ndio kizazi kitachokuja kuwatukana kwenye mitandao hiyo miaka ya baadae

Sasa mje kutukanwa wakati mmeshawaecploit vya kutosha
 
Hapo hakuna kozi Wala nini, watoto watapigwa tango Poli zakutosha 😅.....
 
Kama hakuna hela watarahie passive resistance!!

Blah blah zitapigwa na WATOTO watatoka BILA BILA!!
Ndio dawa yake wala hakuna haja ya kubishana na dola hyo wakifika tu ni kufundishana mapiano tu ni mwendo wa chino Wana man[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora kufanya marekebisho ya mtaala mzima kama ni kingereza kianze msingi mwanzo au darasa la nne ili kujiandaa na sekondari ..kama kingereza hapo mmechelewa kwa kweli hao wanafunzi miezi kadhaa ndio wawe competent ni ndoto.
 
Nawakubali Sana walimu wa Dar es salaam

Kuanzia primary Ni mwendo wa wanafunzi kwenda na pesa shuleni kwa ajili ya masomo ya ziada

Shule unakuta ina wanafunzi 2000+ halafu kila siku wanaenda
na 200 hadi 500 (jumamosi 1000 ya mitihani)

Hapo kwa kila siku mwalimu anatoka na overtime na hafundishi hiyo overtime

Walimu inabidi ifike hatua mukubali bora ifeli shule ila maisha yako yasifeli

Hakuna haja ya kuwaonea huruma wanafunzi Wala wazazi, ndio hao hao wanaowatukana kwenye mitandao ya kijamii na ndio kizazi kitachokuja kuwatukana kwenye mitandao hiyo miaka ya baadae

Sasa mje kutukanwa wakati mmeshawaecploit vya kutosha
Safi sana hii kitu yakuigwa
 
Back
Top Bottom