Walimu pasipo malipo ya overtime msikubali hili jambo

Du labda mwanza ila sio mikoa mingine
 
Nawakubali Sana walimu wa Dar es salaam

Kuanzia primary Ni mwendo wa wanafunzi kwenda na pesa shuleni kwa ajili ya masomo ya ziada

Shule unakuta ina wanafunzi 2000+ halafu kila siku wanaenda
na 200 hadi 500 (jumamosi 1000 ya mitihani)

Hapo kwa kila siku mwalimu anatoka na overtime na hafundishi hiyo overtime


Walimu inabidi ifike hatua mukubali bora ifeli shule ila maisha yako yasifeli


Hakuna haja ya kuwaonea huruma wanafunzi Wala wazazi, ndio hao hao wanaowatukana kwenye mitandao ya kijamii na ndio kizazi kitachokuja kuwatukana kwenye mitandao hiyo miaka ya baadae



Sasa mje kutukanwa wakati mmeshawaecploit vya kutosha
 
Hapo hakuna kozi Wala nini, watoto watapigwa tango Poli zakutosha 😅.....
 
Kama hakuna hela watarahie passive resistance!!

Blah blah zitapigwa na WATOTO watatoka BILA BILA!!
Ndio dawa yake wala hakuna haja ya kubishana na dola hyo wakifika tu ni kufundishana mapiano tu ni mwendo wa chino Wana man[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora kufanya marekebisho ya mtaala mzima kama ni kingereza kianze msingi mwanzo au darasa la nne ili kujiandaa na sekondari ..kama kingereza hapo mmechelewa kwa kweli hao wanafunzi miezi kadhaa ndio wawe competent ni ndoto.
 
Safi sana hii kitu yakuigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…