Guselya Ngwandu
Member
- Sep 17, 2021
- 39
- 84
Walimu wenzangu, tujipongeze kwa kuelimisha Taifa leo tunaposherehekea Siku ya Walimu.
Ndugu zangu, tuko na madonda mengi, mengi yakihusiana na Serikali yetu. Nani hajui kuhusu madeni tunayodai? Nani anajiweka nje ya ukweli kwamba sisis ni miongoni mwa wafanyakazi wa Tiafa hili ambao kwa miaka kadhaa hawajapandishiwa mishahara? Je tunapingana na suala la kwamba wapo wenzetu waliokuwa wametumikia nchi hii miaka mingi tu wakaja kujeruhiwa kwa kuondolewa kazini kwa kilichoitwa vyeti feki?
Tuna mengi hayajakamilika, lakini mimi na wezanngu hapa Kanda ya Ziwa tuna imani na Rais Samia Suluhu ya kwamba madonda haya yatafutwa.
Hadi sasa ametoa ajira kwa walimu wapya, na kabla huu mwaka haujasiaha TAMISEMI watapewa kibali kuongeza wengine 10,000.
Kama hamjasikia bado, nawajuza kuhusu nyumba 300 zilizojengwa katika kipindi kifu[pi cha Urais wa Samia, kila nyumba ikigharimu shilingi milioni 50.
Madaraja watu kibao wamepanda, programu za mafunzo kazini zinaendelea.
Tusishukuru kwa madeni ambayo tumeendelea kulipwa?
Kuna mdarasa 15,000 yatajengwa ili tusifundishie nje tena.
Sina Mashaka, mwakani ishaalah mishahara itapanda.
Nawatakia kazi njema katika kulijenga na kulielimisha Taifa.