Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Inatakiwa wafungue mashitaka mahakamani baadaya kukata rufaa ngazi zote kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma.Walimu hawajatendewa haki
Maji ni huduma ya Lazima shuleni, Serikali inaposhindwa kuwajibikia huduma hiyo, wazazi walipaswa kuwajibikia, nao wanaposhindwa kuwajibikia, inakuwa hakuna namna nyingine ila tu kutumia wanafunzi.Inasikitisha sana.
Mtoto wa miaka 12 wa kumchotesha maji visimani!
Hakika.Serikali iliyoshindwa kusogeza huduma maji shuleni hapo ifurushwe nayo maana ndio kiini cha tatizo.
Kungekuwa na maji shuleni, walimu wasingekuwatuma wanafunzi na marehemu asingekufa kwa kutumbukia kisimani.
Yaan wanaonewaga kama makondoo tuIla hii kaziπββοΈ
Kwanini uwatume wanafunzi kuchota maji.umbali wa km 1 wakiwa peke yaoWalimu hawajatendewa haki
Mbona huo ni umri wa kuolewa kabisa,miaka 12 yupo std 7Inasikitisha sana.
Mtoto wa miaka 12 wa kumchotesha maji visimani!
Suala la kusogeza huduma ya maji karibu na shule ni la mwalimu? Haya watoto wanatakiwa kula shuleni kutumia vyoo, hayo maji wachote walimu? Watoto kuchota maji huko wameanza leo? Ajari haina kinga na ajari haichagui haikuwa na haja ya kuchukua maamuzi ya haraka kiasi hicho.Kwanini uwatume wanafunzi kuchota maji.umbali wa km 1 wakiwa peke yao
kukosekana kwa huduma ya maji shuleni kumechangia sana katika kifo cha mwanafunzi huyo. Hao wanakijiji ni kama mazezeta,wanawafukuzisha kazi walimu halafu swala linabaki palepale,hapo wamewakosesha watoto wengine haki ya kupata elimu bora,kwani mpaka wakaajiliwe walimu wengine miezi ipite,alafu pia tatizo la ukosefu wa maji litabaki palepale. Hapo wa kulaumiwa ni serikali kwa kushindwa kupeleka huduma ya maji shuleni ambayo huwa ni lazma na muhimu sana. Ningeishauri serikali hasa mkurugenzi wa wilaya ya igunga asiwafute kazi walimu hao bali awahamishe kwenda kwenye shule nyingine na ahakikishe kila shule inafikiwa na maji safi ya bombani. Kwani bila shaka mkoa wa tabora umepitiwa na mradi wa maji kutoka lake victoria au achimbe kisima kila shule za wilaya yake na tanzania nzima kwa ujumla. Pole kwa kumpoteza kiongozi wa kesho,pole kwa wazazi na walimu wote.Kwanini uwatume wanafunzi kuchota maji.umbali wa km 1 wakiwa peke yao
Yaan wanaonewaga kama makondoo tu
Sijaona kosa hapo la kufukuzwa hao walimu
Tatzo la kazi ya ualimu hata diwani anaweza kukufukuza kazi