walimu sasa wameua nchi.

walimu sasa wameua nchi.

kila kitu mnalaumu serikali 😡 kuna watz kibao hawana ajira serikali inalishughulikia hilo,, bado miundombinu, maji, umeme n.k. wewe umepewa ajira unagoma bado serikali ilaumiwe kwa ww kutokufanya majukumu yako!? tatizo waalimu mnajiingiza kwenye siasa, mlishajibiwa mishahara yenu kuongezwa kwa 100% haiwezekani tatizo nn,, wakati gharama za masomo yenu ni cheap isitoshe mnapewa mkopo 100% na hadi division 3&4 za ajabu zinapewa nafasi

Jinga kabisa wewe bila mwalimu ungeandika hapa.
 
Tabia zako za Kikurya tumezichoka humu jamvin... domo la mjinga hutamka lolote na popote. kama umesoma hukuelimika usifuate mkumbooo wewe naniiii. jadil mada
 
We,kaa kushoto hapa watu hawachezi kiduku,alichoandika hapo huyo bosi wako umekielewa au kiherehere tu!!Hapo kwenye red pana kufaa kabisa.
 
Wanaofanya ivo si walim wote tafadhali kuwa makini na ujue una fallacy of generalization
 
kila kitu mnalaumu serikali 😡 kuna watz kibao hawana ajira serikali inalishughulikia hilo,, bado miundombinu, maji, umeme n.k. wewe umepewa ajira unagoma bado serikali ilaumiwe kwa ww kutokufanya majukumu yako!? tatizo waalimu mnajiingiza kwenye siasa, mlishajibiwa mishahara yenu kuongezwa kwa 100% haiwezekani tatizo nn,, wakati gharama za masomo yenu ni cheap isitoshe mnapewa mkopo 100% na hadi division 3&4 za ajabu zinapewa nafasi

hivi wewe tumekwambia wawaajiri wenye shahada kuanzia awali sio razima waliofeli.
 
Acha tuuane wenyewe kwa sisi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kila kitu mnalaumu serikali 😡 kuna watz kibao hawana ajira serikali inalishughulikia hilo,, bado miundombinu, maji, umeme n.k. wewe umepewa ajira unagoma bado serikali ilaumiwe kwa ww kutokufanya majukumu yako!? tatizo waalimu mnajiingiza kwenye siasa, mlishajibiwa mishahara yenu kuongezwa kwa 100% haiwezekani tatizo nn,, wakati gharama za masomo yenu ni cheap isitoshe mnapewa mkopo 100% na hadi division 3&4 za ajabu zinapewa nafasi
Kumbe unajua kinachotolewa ni mkopo na sio ruzuku, hizo division 3 na 4 kama unavyo dai ndo zimekufikisha hapo ulipo, na kama wangekuwa hawafai wasingepata nafasi hizo. Kwa hyo wewe unataka nani alaumuwe hapo?
 
Back
Top Bottom