kila kitu mnalaumu serikali 😡 kuna watz kibao hawana ajira serikali inalishughulikia hilo,, bado miundombinu, maji, umeme n.k. wewe umepewa ajira unagoma bado serikali ilaumiwe kwa ww kutokufanya majukumu yako!? tatizo waalimu mnajiingiza kwenye siasa, mlishajibiwa mishahara yenu kuongezwa kwa 100% haiwezekani tatizo nn,, wakati gharama za masomo yenu ni cheap isitoshe mnapewa mkopo 100% na hadi division 3&4 za ajabu zinapewa nafasi
Jinga kabisa wewe bila mwalimu ungeandika hapa.
Tabia zako za Kikurya tumezichoka humu jamvin... domo la mjinga hutamka lolote na popote. kama umesoma hukuelimika usifuate mkumbooo wewe naniiii. jadil mada
kila kitu mnalaumu serikali 😡 kuna watz kibao hawana ajira serikali inalishughulikia hilo,, bado miundombinu, maji, umeme n.k. wewe umepewa ajira unagoma bado serikali ilaumiwe kwa ww kutokufanya majukumu yako!? tatizo waalimu mnajiingiza kwenye siasa, mlishajibiwa mishahara yenu kuongezwa kwa 100% haiwezekani tatizo nn,, wakati gharama za masomo yenu ni cheap isitoshe mnapewa mkopo 100% na hadi division 3&4 za ajabu zinapewa nafasi
Na hali hii itaendelea kwa kipindi kirefu sana mpaka hapo serikali itakapo tusikiliza
Kumbe unajua kinachotolewa ni mkopo na sio ruzuku, hizo division 3 na 4 kama unavyo dai ndo zimekufikisha hapo ulipo, na kama wangekuwa hawafai wasingepata nafasi hizo. Kwa hyo wewe unataka nani alaumuwe hapo?kila kitu mnalaumu serikali 😡 kuna watz kibao hawana ajira serikali inalishughulikia hilo,, bado miundombinu, maji, umeme n.k. wewe umepewa ajira unagoma bado serikali ilaumiwe kwa ww kutokufanya majukumu yako!? tatizo waalimu mnajiingiza kwenye siasa, mlishajibiwa mishahara yenu kuongezwa kwa 100% haiwezekani tatizo nn,, wakati gharama za masomo yenu ni cheap isitoshe mnapewa mkopo 100% na hadi division 3&4 za ajabu zinapewa nafasi