Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi

NJIA ZA KUUPINGA UBAGUZI
1.WAAFRIKA KUACHA KUPELEKA WATOTO WAO PALE
2. KILA MWAKA KUWE NA AJALI ZA KUUGUNGUA KWA MOTO.
Hapana. Njia ya mwafrika kujikomboa kutoka kwenye ubaguzi ni moja tu: tufanye kazi kwa bidii ili tuwe na uwezo wa kufanya mambo yetu. Ila kuna kikwazo cha uongozi mbovu ambacho ni lazima kiondolewe ili tuwe na plan inayoeleweka.
 
Mtu wakuja tu anakubagua Kwenye nchi yako dah pole yao, hawa wala mavi ya ng’ombe ni wabaguzi sana afu wamejazana hapa ndio mana walitimuliwa Uganda huko!
 
Hao maHR kwa kujipendekeza kwa wahindi hawajambo huwa wanajikutaga na wao wahindi!
 
Mtu wa maana ndio yupi?
Mtazamo wangu ni kubadilika kifikra.
Siyo kila mzungu, mhindi, mchina, mwarabu na hao wengine amekuzidi, hicho ndicho wao wanataka kutuaminisha na sisi tunakubali kuamini hivyo. Tukiweza kuanza kufikiri kama wao ni sawa tu na sisi, maisha yatakuwa shwari sana.
 
daaa!!!!!! wamechelewa,wangegoma kipindi cha CHUMA/JIWE marehemu MAGUFULI,wahindi wote wangerudi kwao,tatizo watanzania ha2jui k2mia fursa,wakati wa hapa kazi tu hawakugoma,wanakuja kugoma wakati wa kazi iendelee,shauri yao,watafukuzwa kama wamasai wa loliondo wabaki wahindi kama watakavobaki waarabu loilondo,huku wamasai wakifundishwa uganga na wazigua!!!
 
Sehemu zote nilizofanikiwa kwenda zenye wahindi, ni wabaguzi kuliko hata wazungu. Toka Tanzania imepata uhuru, wazungu na waarabu wanaishi na waafrika vijijini au mijini kwa kujichanganya lakini wahindi miaka yote wanaishi kwa kutubagua. Vijijini watu wanaenda kunywa kahawa na tende kwa mwarabu lakini mhindi gani anaishi sehemu za waafrika?
Ukienda hospital ya Aga Khan ukiwa mwafrika bila bima, utatozwa pesa mpaka ufilisike. Aga Khan hospital wahindi wote wanapata punguzo maalum kutokana na ngozi yao. Ukiangalia rushwa kubwa na magendo kubwa nchi toka Tanzania imepata uhuru, wahindi wanashiriki kwa karibu katika michongo yao lakini wanafanya kila kitu kimyakimya. Adui mkubwa wa watanzania ni mhindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…