Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi

Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi

NJIA ZA KUUPINGA UBAGUZI
1.WAAFRIKA KUACHA KUPELEKA WATOTO WAO PALE
2. KILA MWAKA KUWE NA AJALI ZA KUUGUNGUA KWA MOTO.
 
ZAIDI ya walimu 50 wenye asili ya Kiafrika kwenye shule ya Sekondari ya The Agha Khan Mzizima wamegoma kuingia darasani kufundisha wanafunzi kwa kile walichodai kuwa uongozi wa shule hiyo umekuwa ukiwanyanyasa na kuwabagua kwa rangi.

MwanaHALISI kupitia chanzo cha kuaminika kilipata taarifa hizo na kufika shule hapo kushuhudia mgomo huo ulianza leo tarehe 24 Mei 2022 asubuhi.

Mwandishi wetu alipofika shule hapo aliwakuta wanafunzi wakirandaranda nje ya madarasa huku walimu wenye asili ya kitanzania wakiwa hawaonekani eneo hilo.

Mwandishi alifika mapokezi kwa ajili ya taratibu za kupata taarifa hizo na chanzo cha mgomo huo alimsikia mwanafunzi mmoja akimuomba mwalimu wa kike ruhusa “madam kama hatusomi mturuhusu turejee nyumbani mapema”

Hata hivyo uongozi wa shule hiyo haukuwa tayari kuzungumzia suala hilo lakini Mwana HALISI ilipata nafasi ya kuzungumza na walimu wa shule ambao walikuwa wamejikusanya pamoja kwenye jengo la nyuma wakisisitiza kuwa wamegoma kwa kile walichokidai kukithiri kwa ubaguzi na unyanyasaji.

Mwalimu Mohammed Haji mwalimu anayefundisha somo la Baiyolojia kwenye shule hiyo amesema kuwa shule hiyo ina waalimu wa kiafrika na walimu wanaotoka bara la Asia ambao wengi ni wahindi.

‘’Likifika suala la uamuzi, rangi inakuwa kigezo na wahanga wakubwa ni sisi watanzania, mpaka inafika kipindi tunakuwa hatuna imani na kesho yetu kwa sababu hapa unaweza kuzushiwa chochote kuchafuria CV zako mfano wale wenzentu waliosingiziwa kuvujisha mitihani.

“Mwaka jana kulitokea suala la kuvuja mitihani ambapo sisi tuna mashaka na kuvuja kwa mitihani hiyo lakini bila sababu yoyote walimu wa Kitanzania watatu waliangushiwa jumba bovu na kufukuzwa kazi, sisi ni watu wazima mambo yote yanayotokea hapa tunayaona,”amesema Haji.

Haji amesema kuwa ubaguzi huo umekwenda mbali mpaka kwenye masuala ya malipo kwa kuwa walimu wa kigeni wanalipwa kiwango cha juu mara nne zaidi ya kiasi cha Mtanzania ikiwa kiwango cha utendaji kazi ni sawa, “Tena walimu wa kitanzania wanafanya kazi zaidi”.

Anasema kuwa walimu wa Kitanzania hawaheshimiki, “ sisi walimu wa Kiafrika unaweza ukakemewa mbele ya wanafunzi na ukienda kulalamika unapewa onyo kali lakini hata kwenye ajira akiondolewa Mtanzania ataletwa raia wa kigeni na atapewa kiwango kikubwa cha mshahara.

“Tunanyanyaswa mpaka na walimu wenzetu wale wahindi wanatuona kama watu wa Second Class kwenye taasisi hii”

Issa Sumbi Mwalimu wa shule hiyo amesema kuwa ubaguzi huo unawaathiri na kwamba hivi karibu wameondolewa kazini walimu takribani watano bila kuwepo kwa sababu yoyote na waliojaza nafasi zao ni walimu wa kihindi.

Pamera Mboya Mwalimu wa TEHEMA katika shule hiyo amesema kuwa chanzo cha kuondolewa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo ambaye alikuwa akisimama kutetea haki za walimu wa Kitanzania shuleni hapo kinaukakasi na kwamba wanahisi kuwa kuna shinikizo.

Samweli Kameme ni mmoja wa walimu wa The Agha Khan Mzizima amekiri kuwa uongozi wa shule huo unawabagua walimu hao wenye asili ya kiafrika.

“Unyanyasaji huu unafanyika kwa wazi kwetu sisi walimu kwa kubaguliwa na uongozi wa shule hususani Mkurugenzi wa shule anajua anachotenda hasa sisi walimu weusi , tunanyanyasika kwenye nchi yetu kwa kweli inauma”

“Mikataba inasitishwa bila sababu za msingi, wakiondolewa kazini walimu wa kiafrika wanaletwa walimu wenye asili ya kihindi tunaamini Rais Samia ataliona hili tunabaguliwa kwenye ardhi yetu,’ ameongeza.

John Kayoa Ofisa Rasilimali watu (HR) Msaidisi wa shule hiyo ambaye alimtaka mwandishi wa habari hizi aache maswali yake yote kwake ili siku inayofuata apate majibu.

Kayoa amesema kuwa kuhusu tuhuma za ubaguzi anaweza kuzisemea kidogo kuwa si za kweli.

“Unajua Mwandishi hapa kuna watu wanaotoka nchi tofauti tofauti na kila mtu anautamaduni wake hayo mambo hayana ukweli na kuhusu ajira kwa walimu wa kigeni sisi tunawaalimu zaidi ya 103 kwenye hao walimu raia wa kigeni ni walimu 13 tu,” amesema.

MWANAHALISI
Watu wapo nchini mwao lakini bado wanadharauliwa na kubaguliwa!!!
  1. Hii ni hatari, huenda huu ni moshi moto unaunguza ndani kwa ndani kimyakimya, kwanini tusianze kuamini kuwa hatta kwenye hospitali zao rangi nyeusi inahujumiwa kimaficho!?
  2. Nani yupo nyuma ya mpango mzima wa ubaguzi huo? Kwanini?
  3. Uchunguzi ufanyike kwenye composition ya SMT.
 
Waafrika ni watu pekee ambao wanalia kubaguliwa na kila mtu hata kwenye nchi yao, once again takwimu zinasema Wahindi Tanzania ni <200 000 au laki 2 lkn wanamiliki > 85% ya Uchumi wa Tanzania.
Kuna kitu hakipo sawa hapo, kwa hali ya kawaida Muhindi ndiye aliyepaswa kulalamika kubaguliwa Tanzania na siyo kinyume chake.

Kuna watu wanamtetea Rostam wanasema ni mwenzao lkn yeye Rostamu hawaoni hivyo!
Kuna weusi wenzetu wanaonyunyizia kiwese kwenye hiki kifuu kinachofuka moshi
 
Wahindi wakisoma hii thread lazma wajifungie kwenye kota zao, Watu wamelaani hatari.
 
Kuna huyu mwingine dada yake alikuwa ananyanyaswa 👇🐒

 
Ningekua rais,ningetoa ultimatum kwa raia wa kigeni wenye uraia wa tz kuongea kiswahili kilichonyooka ndani ya miaka miwili,akishindwa aondoke,wahindi hawachanganyiki na jamii zingine,Wana dharau na roho mbaya
Mbona huku chuga kuna muhindi ni askari police.
 
Ila hawezi sema 'nguvu moja' anasema 'guvu moja'
😝pia hawawezi kutamka neno utampa mama nyumbani,wao wanasema tompa mama nyumbani.

Ila kama wangekuwa wanajiunga na jeshi hakika tungekoma kwa kipigo,kwenye rushwa sidhani kama wangechukua.
 
😝pia hawawezi kutamka neno utampa mama nyumbani,wao wanasema tompa mama nyumbani.

Ila kama wangekuwa wanajiunga na jeshi hakika tungekoma kwa kipigo,kwenye rushwa sidhani kama wangechukua.
Rushwa haibagui rangi
 
Sinaga upendo na wasio na upendo.
Yan hawa binadamu soon watajalipia lipia madhambi yao wanayotenda kwa wana wa adamu
 
Pamoja na hayo Sisi watu wenye ngozi nyeusi ni wa ajabu Sana,, tupo Kama tuna laana vile.
Ni watu wa hovyo kweli kweli kuanzia maofisa wa Ngazi za juu serikalin hadi raia wa kawaida.
Karibu nchi zote zenye zilizojaa watu wenye ngozi nyeusi hapa duniani zimejaa Mambo ya hovyo , yenye dalili za laana.

Twende mbele turudi nyuma ubaguzi dhidi ya MTU mweusi hautakaa ukaisha mpaka pale MTU mweusi abadilike awe mtu wa maana.

Watu wa hovyo NI rahisi kutendewa Mambo ya hovyo.

Credit to Chika Onyeani " The capitalist nigger"
 
Waafrika ni watu pekee ambao wanalia kubaguliwa na kila mtu hata kwenye nchi yao, once again takwimu zinasema Wahindi Tanzania ni <200 000 au laki 2 lkn wanamiliki > 85% ya Uchumi wa Tanzania.
Kuna kitu hakipo sawa hapo, kwa hali ya kawaida Muhindi ndiye aliyepaswa kulalamika kubaguliwa Tanzania na siyo kinyume chake.

Kuna watu wanamtetea Rostam wanasema ni mwenzao lkn yeye Rostamu hawaoni hivyo!
Thank you very much for making my day! Wewe umegusa chanzo hasa cha tatizo! Mengine yote ni bla bla blah tu!
 
Back
Top Bottom