Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi

Ndio maana Idd Amin Dadaa alifanya kile alichofanya kwa hawa jamaa. Wanahitaji kunyooshwa maana wamekuwa wakiendekezwa sana kiasi cha kujiona wako juu ya kila kitu.....na hatua hii inaanza na wewe na sio kuendelea kulalamika maana haisadii !!!
 
Hii ni tabia ya wahindi, hata viwandani huko wapo hivihivi

Serikali inapaswa kuchunguza hili na kuwachukulia hatua wapumbavu hawa.
 
Hilo ni la kupigwa vita.
Vile vile umuhimu wa kuwa makini katika yale tunayoyataka kwenye Katiba. Mambo kama haya yawe wazi, hatihati yeyote ichunguzwe, wahusika Vrooom gone! Back to origin country. (nimefyonza)

Hao wahusika hapo Aghakhan wachunguzwe kwa tuhuma hizo.

Aluta Continua
 
Wahindi ni wabaguzi sana na hilo linajulikana miaka yote, pia wahindi hubaguana wao kwa wao! Hao ni wahindi na viongozi wa serikali wakienda shuleni hapo watakumbana na bahasha iliyonona na walimu watasurubiwa.
 
Hospital zipi hizo Mkuu ambazo hazipokei bima ya NHIF? Unamaanissha zile za Aghakan Hospital? Mbona Mara nyingi Mimi natibiwa kwa hizo hospital kwa kutumia bima ya NHIF, Kuna Ile ya mwanza, nimeenda Mara nyingi, ya mbeya nimeenda maranyingi, pia Bunda- Mara nako wana hospital nimewahi fika.

Labda Kama Kuna Aghakan hospital zingine tofauti na hizi ninazozitambua Mimi!
 
Wahindi ndivyo walivyo NCHI mzima na kibaya zaidi, utateseka kisaikolojia tu na hutakuwa na Msingi wowote wa hoja za kisheria wa kusimamia.

Kitakachokuweka hapo kwenye Ajira Ni njaa Kali na Hakuna kitu utakacho badili.

Hakuna shule, kampuni au taasisi za Kihindi au kiislam zikakosa ubaguzi.

Ubaguzi kwao Ni SUNNA.
 
Walimu hao kupitia chama chao waiandikie serikali na copy kwa chama cha mapinduzi.
Tatizo kwisha.
 
Mimi naomba niliongelee pande zote katika hali halisi. Kwanza wa Tanzania wenye asili ya kihindi kufanya ubaguzi hili ni kweli ila hili linaweza kushughulikiwa na Serikali kwa sheria kuondoa aina zote za ubaguzi na sio wahindi tu kwa watu wote kuacha kubaguana lakini baya kama sehemu ya kazi kuna ubaguzi kwa ajili ya rangi.

Shida hata ukiweka sheria kulinda wa Tanzania kumbuka hata hawa ni wa Tanzania tofauti na nchi za kiarabu wanalinda watu wao ndio maana wahindi wako kimya sababu sio raia. Lakini kuna lingine kwa upande wetu maadili yetu ya kazi wengi wanachafuliwa na wachache kukosa uaminifu na weledi, hatuamini na ukitaka kujuwa hilo soma report ya CAG mpaka watumishi wa umma wanapiga tu hatuaminiki. Lakini kubwa kuliko lote ni jukumu la serikali kulazimisha watu kulipwa kutokana na qualification zao sio rangi zao na utendaji wao wa kazi hasa wakiwa wote ni wa Tanzania rangi kisiwe kigezo na kama lipo lazima lipigwe stop mara moja.

Mfanyakazi wa kigeni ni suala lingine sababu kumleta toka huko alikotoka ni lazima umpe maslahi bora kuliko huko alikotoka hii ni kawaida. Ila ubaguzi ni suala la kupigwa marufuku kwa nguvu kubwa kwa wanasiasa na wananchi na kampeni kubwa zifanyike na sheria kali ziwekwe kwenye jambo hili.
 
Ni kweli wanapokea, nilikuwa Tanga nikaenda Aghakan nikapata huduma kama kawaida
 
Na sisi waafrika tanzishe taasisi zetu tuwabague, hii ndo suluhisho.
 
Dawa ni kuwanyima hao wageni vibali vya kufanya kazi.. Sharti inapaswa kuwa 80% ya staff wawe wazawa kama hawataki wafunge shule, shule itaifishwe na Serikali mambo yaende...pumbav
 
Watz ni wanyanyasaji na wanyanyapaaji kuliko kawaida.

Watz wanawadharau wahindi, unategemea wahindi wawapende?
 
Ukoloni ulishawafanya wahindi wawe second class citizens na waafika third class citizens.

Hata utawala wa nchi unaona hivyo, ndio maana hizi kesi za ubaguzi zinapotezewa.

Hakuna muhindi anaempenda muafrika, iwe kwenye malipo, heshima na utu.
Ila kwenye kuvujisha mtihani ni kweli wabongo lazima watakuwa wamehusika tu...
 
Ukishakaa na Rostam Aziz akasema sio Mtz?
Tatizo mnapenda bagua ndo maana mnabaguliwa
 
Ningekua rais,ningetoa ultimatum kwa raia wa kigeni wenye uraia wa tz kuongea kiswahili kilichonyooka ndani ya miaka miwili,akishindwa aondoke,wahindi hawachanganyiki na jamii zingine,Wana dharau na roho mbaya
Wakiondoka na wewe utarudi kwenu gamboshi kama lile dude lenu
 
Dawa ni kuwanyima hao wageni vibali vya kufanya kazi..Sharti inapaswa kuwa 80% ya staff wawe wazawa kama hawataki wafunge shule, shule itaifishwe na serikali mambo yaende...pumbav
Hao wengi sio wageni ni watznia wenye asiri ya kihindi, hiyo issue inaweza kutatuliwa na CWT, au ukaguzi au uthibiti ubora mashuleni lakini nacho jua hamna mtu anae toa rushwa kubwa kama Mhindi, hapa tunapo ongea mkrugenzi wa tasisi za aghakan taifa atakua tayari kashapanga ratiba ya kuonana na waziri wa elimu tayari kumueleza hari halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…