HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Muhimbili ipo kwanini unganganie Agakhan?Yaani mpaka wamefikia Kugoma, basi tujue ukweli kwamba hali ni mbaya sana. Huyo HR Msaidizi ni Mtanzania na kwa kauli yake hiyo inaonyesha wazi anawatetea Wahindi.
Jiwe mwenyewe alishindwa kwa Mr. Aga Khan pamoja na kukutana Uso kwa Uso; kuhusu Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) kupokelewa katika Hospitali zake na wananchi waliliongelea sana hili suala mpaka aibu lakini mpaka kesho bado 'Ngoma Ngumu'.
Sembuse hili la Unyanyasaji wa Walimu Wazawa? Serikali ile ile tuitegemee tena!!?
Nawatakieni Kila la Kheri.