saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Labda tusubiri mkeka mpya wa Mama wa kuisuka upya Serikali anaweza kumla kichwaAfisa Elimu wa Bagamoyo anatia kinyaa.
Nilimuona Dodoma mara kadhaa arrogant kwelikweli, hana sifa ya kusimamia halmashauri inayofanya vizuri nchini