Walimu! Serikali haijatuma pesa za kujikimu,ts another fake promise

Walimu! Serikali haijatuma pesa za kujikimu,ts another fake promise

ZeTicha

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
80
Reaction score
2
Huku halmashauri mambo hayaeleweki, vyanzo kutoka ndani ya serikali vimesema hakuna hela kwa sasa, hasa za kujikimu.......mi nipo hapa kinondoni, na hakijaeleweka.
Nani anasema uongo? Serikal? Naibu waziri? Halmashaur? Au hvyo vyanzo?
 
Poleni kwa wale ambao hamja pewa.
 
hata huku mufindi pesa hakuna kwakweli serikali ya ****** ni hatari!
 
Majaliwa alidanganya Umma, ila ukwel wakat anatoa kauli ile pesa halmashaur zlkuwa hazjafka, ila nafkir vr soon 2tapewa, wale wa kinondoni lakn.
 
Mbona wengine wamepewa sehem zingine acha uongo mkuu na kusambaza sumu.
 
Soma vzuri thread yangu mkuu, halaf malzia na comment yangu mkuu kanchi
 
Mbona wengine wamepewa sehem zingine acha uongo mkuu na kusambaza sumu.

Yaani serikali ndo haina mpango kabisaaa wanafikiria sherehe za muungano...ushauri eti kachukue kiasi fulan kutoka kwa headmaster..afisa elimu hayo!?
 
duuuuu wadauuuu hali nimbaya sana pande za mufindi Iringa hiv
 
nafikiri hizo halmashauri zina matatizo sababu kuna zingine wameshatoa......
 
Walimu- mbuzi wa kafara, tutawapeni pesa zenu baadaaae, ngoja kwanza tushughulikie ya muhimu, kwani hata ninyi hamyaoni?
 
Back
Top Bottom