DOKEZO Walimu Sumbugu Sekondari, Wilaya ya Misungwi, Mwanza, wapata unyanyasaji mkubwa kutoka kwa Mkuu wa Shule hiyo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama kweli wewe ni mwalimu wa shule ya sekondari na umekabidhiwa watoto wetu uwafundishwe waelewe, basi serikali inapoteza pesa yake bure kukulipa mshahara.

Mwalimu unauwezo mdogo sana pengine kuliko wanafunzi wako.

Tafuta kashamba uwe unakwenda kuongeza kipato baada ya saa za kazi vinginevyo huyo mkuu wako atakushika taco afu utakuja kulalamika humu jf
 
zMwandiko na sautu tu. Shikamo mwaaaalimu
 
Ushahidi?
 
Anawanyanyasa kivipi anawabaka au?
Elezea vizuri tukuelewe mwalimu wetu.
Hiyo shule ni mali ya nani?
 
Kwani hilo eneo halina nyumba za kupanga, au viwanja vya kununua ili kujenga nyumba binafsi, kiasi cha hao walimu kung'ang'ania hizo nyumba za shule zenye nongwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…