Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,710
- 2,951
Wewe jamaa asee,,,,kuna moja anapenda kuja hapa almashauri yani utembeaji wake na jinsi anavyoshika kishikwambi unajua tuh ni mkuda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa asee,,,,kuna moja anapenda kuja hapa almashauri yani utembeaji wake na jinsi anavyoshika kishikwambi unajua tuh ni mkuda
Kama kweli wewe ni mwalimu wa shule ya sekondari na umekabidhiwa watoto wetu uwafundishwe waelewe, basi serikali inapoteza pesa yake bure kukulipa mshahara.Mkuu wa shule ya Sumbugu iliyopo Wilani Misungwi ni muumini wa ukatili wa kingono kwa wanafunzi, katika mazingira yasiyokuwa ya ubinadamu, aliamua kubomoa mirango yote na madirisha katika nyumba wanayoishi walimu ambao wamehamia kituoni hapo miaka saba iliyopita bila kulipwa na mwajiri wao.
Licha ya changamoto hizo wamekuwa wakijituma Kwa miaka yote licha ya matusi na manyanyaso toka kwa mkuu huyo wa shule. Walimu wameendelea kuishi katika nyumba hiyo Kwa mwezi mzima bila madirisha Wala mirango, kitendo ambacho kimewaathili kisaikologia maana wanafunzi na walimu wameshuhudia kitendo kilichofanyika.
Mkuu huyo wa shule Seka Awando ameendelea kuendelea kushiriki na kufumbia macho vitendo vya ukatili wa kijinsia Kwa wanafunzi na wanaonekana kupinga hivyo vitendo anawajengea chuki kubwa. Yeye anaishi katika nyumba ya kulala wageni ambako hutumia mwanya huo kunyanyasa wanafunzi wa kike kijinsia pia
zMwandiko na sautu tu. Shikamo mwaaaalimuHao walimu nao ni mbumbumbu, mtumishi mwenzao, ameajiriwa kama wao, akapata usimamizi wa shughuli za shule kama kiongozi tu, anapataje jeuri ya kuwanyanyasa? Huyo mkuu wa shule hajawahi kukutana na staff zilizopinda ashikishwe adabu. Kuna shule staff zake zimegawanyika vipande vipande na walimu wakuu wake hawana uwezo wa kuwaweka pamoja walimu wao. Unakukuta mkuu wa shule ana kundi lake na wengine wana makundi yao mpaka wengine ofisi hawakai pamoja wako madarasani kama ofisi. Wakati mwingine ngumi zinapigwa na kupelekea uongozi wa juu kusambaratisha walimu kwa kuwahamisha. Wakuu wa shule wengi wao hawana ile inaitwa management and administration skills. Wanaongoza shule kidikteta na ulimbukeni wa madaraka
maarhaabaa mwanafunzizMwandiko na sautu tu. Shikamo mwaaaalimu
Ushahidi?Mkuu wa shule ya Sumbugu iliyopo Wilani Misungwi ni muumini wa ukatili wa kingono kwa wanafunzi, katika mazingira yasiyokuwa ya ubinadamu, aliamua kubomoa mirango yote na madirisha katika nyumba wanayoishi walimu ambao wamehamia kituoni hapo miaka saba iliyopita bila kulipwa na mwajiri wao.
Licha ya changamoto hizo wamekuwa wakijituma Kwa miaka yote licha ya matusi na manyanyaso toka kwa mkuu huyo wa shule. Walimu wameendelea kuishi katika nyumba hiyo Kwa mwezi mzima bila madirisha Wala mirango, kitendo ambacho kimewaathili kisaikologia maana wanafunzi na walimu wameshuhudia kitendo kilichofanyika.
Mkuu huyo wa shule Seka Awando ameendelea kuendelea kushiriki na kufumbia macho vitendo vya ukatili wa kijinsia Kwa wanafunzi na wanaonekana kupinga hivyo vitendo anawajengea chuki kubwa. Yeye anaishi katika nyumba ya kulala wageni ambako hutumia mwanya huo kunyanyasa wanafunzi wa kike kijinsia pia
Kwani hilo eneo halina nyumba za kupanga, au viwanja vya kununua ili kujenga nyumba binafsi, kiasi cha hao walimu kung'ang'ania hizo nyumba za shule zenye nongwa?Mkuu wa shule ya Sumbugu iliyopo Wilani Misungwi ni muumini wa ukatili wa kingono kwa wanafunzi, katika mazingira yasiyokuwa ya ubinadamu, aliamua kubomoa mirango yote na madirisha katika nyumba wanayoishi walimu ambao wamehamia kituoni hapo miaka saba iliyopita bila kulipwa na mwajiri wao.