Walimu tarajali ngazi ya cheti na diploma toeni tathmini hapa

Deogratius n

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
1,193
Reaction score
254
Nina imani mitihani yenu imemalizika kwa asilimia 95. Mkiwa mnategemea ajira zenu 2015/16 tunaomba mtupe tathmini ya mitihani yenu na matarajio yenu kama mnafaa kuajirika ama hamfai kutokana na jinsi mlivyofanya mitihani yenu. Mimi kama mdau wa elimu nawatakia matokeo mazuri.
 
Wana presha na ajira......hawajui hatima yao.....
 
kiwastani watumgaji wa hz pepa hawafuati syllabi kabisa
 
Kuna tetesi kuwa walimu wote waliojiriwa mwaka huu kuna uwezekano wa kutolipwa mishahara yao kwa karibia miezi miwili.
Na waliosup wanatakiwa kurudi nyumbani eti hawana sifa sasa sijui nini kitatokea.
 
Hamna kk huku dp kuna ujinga wa kutofuata syllabus ktk utungaji wa mithan...pepa zilikua kawaida kwa mfano cl na foed zlkaza kidogo.

mtatoka vizuri. Hope wk ijayo mitihani itaanza kusahhshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…