Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Nina imani mitihani yenu imemalizika kwa asilimia 95. Mkiwa mnategemea ajira zenu 2015/16 tunaomba mtupe tathmini ya mitihani yenu na matarajio yenu kama mnafaa kuajirika ama hamfai kutokana na jinsi mlivyofanya mitihani yenu. Mimi kama mdau wa elimu nawatakia matokeo mazuri.