E Evz JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 674 Reaction score 130 Jan 8, 2015 Thread starter #21 Godfrey zambi ni naibu waziri wa kilimo hausiani na wizara ya elimu. Walimu jiandaeni ajira zenu mwezi wa3.
Godfrey zambi ni naibu waziri wa kilimo hausiani na wizara ya elimu. Walimu jiandaeni ajira zenu mwezi wa3.
Baba ni baba Senior Member Joined Dec 19, 2014 Posts 113 Reaction score 50 Jan 10, 2015 #23 Angefunguka zaidi sio kusema walimu wanakimbia kwenye sehemu zao walizopangiwa wakae wakujua kuwa hakuna mtu anayeweza kukimbia kwenye sehemu yenye neema.....
Angefunguka zaidi sio kusema walimu wanakimbia kwenye sehemu zao walizopangiwa wakae wakujua kuwa hakuna mtu anayeweza kukimbia kwenye sehemu yenye neema.....
Msigazi Mkulu JF-Expert Member Joined Dec 22, 2013 Posts 4,160 Reaction score 3,368 Jan 10, 2015 #24 Kwa jinsi nilivyopigika hata nikipangiwa visiwani nitaripoti siku hiyohiyo watakayo tangaza ajira. Kitaa kigumu aisee asikwambie mtu
Kwa jinsi nilivyopigika hata nikipangiwa visiwani nitaripoti siku hiyohiyo watakayo tangaza ajira. Kitaa kigumu aisee asikwambie mtu
Faru dume JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 471 Reaction score 116 Jan 10, 2015 #25 Bora ninacheti cha jkt najiajir kwenye ULINZI...wazi?
GANJA ROLLER JF-Expert Member Joined Sep 8, 2014 Posts 709 Reaction score 273 Jan 10, 2015 #26 kasigazi kalungi said: Kwa jinsi nilivyopigika hata nikipangiwa visiwani nitaripoti siku hiyohiyo watakayo tangaza ajira. Kitaa kigumu aisee asikwambie mtu Click to expand... na kule kazini kugumu zaidi bora hata ya kitaa
kasigazi kalungi said: Kwa jinsi nilivyopigika hata nikipangiwa visiwani nitaripoti siku hiyohiyo watakayo tangaza ajira. Kitaa kigumu aisee asikwambie mtu Click to expand... na kule kazini kugumu zaidi bora hata ya kitaa
E Evz JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 674 Reaction score 130 Jan 10, 2015 Thread starter #27 GANJA ROLLER said: na kule kazini kugumu zaidi bora hata ya kitaa Click to expand... kule si kuna hela?
GANJA ROLLER said: na kule kazini kugumu zaidi bora hata ya kitaa Click to expand... kule si kuna hela?