Walimu tarajali watakiwa kuwa wazalendo watakapopangiwa ajira zao

Walimu tarajali watakiwa kuwa wazalendo watakapopangiwa ajira zao

Godfrey zambi ni naibu waziri wa kilimo hausiani na wizara ya elimu. Walimu jiandaeni ajira zenu mwezi wa3.
 
Angefunguka zaidi sio kusema walimu wanakimbia kwenye sehemu zao walizopangiwa wakae wakujua kuwa hakuna mtu anayeweza kukimbia kwenye sehemu yenye neema.....
 
Kwa jinsi nilivyopigika hata nikipangiwa visiwani nitaripoti siku hiyohiyo watakayo tangaza ajira. Kitaa kigumu aisee asikwambie mtu
 
Back
Top Bottom