Walimu Tarime wanajisaidia Guest House wakati serikali inanunua madege

Walimu Tarime wanajisaidia Guest House wakati serikali inanunua madege

Navyojua sio mpango wa serikali ya ccm waalimu kujisaidia kwenye vyoo vya gesti wala vyoo vya kueleweka, sio mpango kabisa.

Mpango wa serikali ya ccm ni waalimu kua wanajisaidia vichakani na sio kwenye vyoo vya kisasa.

Ukiona shule ina vyoo vya kisasa waalimu wanajisaidia basi inabidi washukuru sana, maana hao wanakua wamependelewa, wanastahili kua wanajisaidia vichakani sasa wakipewa vyoo vya kisasa hawana budi kushukuru sana.
 
Nisingeona tatizo hata kama wangekuwa wanakwenda haja msituni; kama hizo ndege zingekuwa zinaleta faida / au bei ya safari za ndani ingepungua....

My point is..., hata kama kungekuwa na choo kila darasa (self contained) bado isinge-halalisha kuleta mradi ambao faida yake hatujui na gharama ya usafiri imepanda....

By the way uzembe niuonae mimi ni hizi shule zipo karibu na Guests....
 
Kama waaalimu hawalalamiki wewe walalamika Nini huenda wanaenjoy hicho kitendo
 
Back
Top Bottom