Walimu Tarime wanajisaidia Guest House wakati serikali inanunua madege

Ukiona vyoo vizuri kwenye taasisi za serikali hasa shule na zahanati ujue ni mkono wa UNICEF
 
Baada ya kero hiyo kupatiwa ufumbuzi Fisi nao wameanza kufukua Makaburi na kula mizoga
 
Kila mahali vilio walimu kujisaidia porini! Siku mtu aking'atwa kalio tutajua kuna tatizo. Utajenga madarasa lakini vyoo na hata ofisi hawakumbuki !!
 
Hivi kweli mtu anakwenda kuzindua choo!!!!? Yamekosekana ya kufanya, vitu vingine ni aibu kuvisema

 
Namsikia mtu anasema Mbunge ameiwezesha shule kupanda hadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…