A Anonymous Guest Apr 15, 2026 #1 Walimu Temeke hela za likizo hatujalipwa toka 2019, Ni huzuni tupu. Pesa nasikia wanazo ila wanaziweka fixed acc ziwazalishie, ni maumivu makubwaa. Tunaomba mtupazie Sauti. Mimi ni mwalimu, Temeke Manispaa, Dar es Salaam. Pia soma ~ Naibu Waziri Qwaray: Waajiri wote lazima watenge bajeti ya kumlipa mtumishi pindi anapohama
Walimu Temeke hela za likizo hatujalipwa toka 2019, Ni huzuni tupu. Pesa nasikia wanazo ila wanaziweka fixed acc ziwazalishie, ni maumivu makubwaa. Tunaomba mtupazie Sauti. Mimi ni mwalimu, Temeke Manispaa, Dar es Salaam. Pia soma ~ Naibu Waziri Qwaray: Waajiri wote lazima watenge bajeti ya kumlipa mtumishi pindi anapohama
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 Apr 15, 2026 #2 Ndio safi nyie na wao lenu moja tu. Nani hawajui nyie kua kavu Kila baada ya miaka 5 mnawasaidia kurudi madarakani. Fisiem oyeeeeee Kazi ni kipimo cha utu
Ndio safi nyie na wao lenu moja tu. Nani hawajui nyie kua kavu Kila baada ya miaka 5 mnawasaidia kurudi madarakani. Fisiem oyeeeeee Kazi ni kipimo cha utu