Walimu tufanye ivi kukomesha dhalau

wewe ulipata daraja la tano ukatumia cheti cha mwenzako aliyefaulu kusomea ualimu! hili halina ubishi kwa utumbo uliouandika hapa!
Vipi niambie umeshanunua Bahasha ngapi za kuombea kazi? na vp bado unasema walimu ni failues? nijibu mkuu!!
 
kwa taalifa yako nina dvn one ya point 7 PCM na nimesoma katika chuo kikuu cha sokoine(SUA) Bsce(INFORMATICS AND MATHEMATICS) sa ivi ni mwalimu wa shule kubwa inayozalisha dvn 1 kila mwaka usione term hii serikali imetufanyia udwanzi
Mkuu, kama ni kweli uyasemayo, we ndo umeandika hii post hapa chini au kuna mtu alikuibia password yako?

Kama ni wewe unaidhalilisha SUA!! Na ikawaje ukasoma SUA afu ukawa mwalimu? Matokeo SUA yalikuwaje? Au ndo tatizo la ajira?

Mwalimu hapa ndo ulitaka kusemaje .. Sijakuelewa kabisaaaaa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nko TABORA BOYS NAFUNDISHA MATHEMATICS V NA VI! VIPI WEWE UMEFIKIA WAPI NA BAHASHA?
 
Mkuu, kama ni kweli uyasemayo, we ndo umeandika hii post hapa chini au kuna mtu alikuibia password yako?

Kama ni wewe unaidhalilisha SUA!! Na ikawaje ukasoma SUA afu ukawa mwalimu? Matokeo SUA yalikuwaje? Au ndo tatizo la ajira?

Ndo nimeiandika we uliyoiandika iko wapi? unadhani mimi ntazunguka kama wewe kutafuta ajira! Tena natafutwa na mashule mengi kwasababu watata wa namba tuko wachache nchi hii! niambie we namba std 7 una ngapi make najua hata secondary hujaenda!! ooooh.....!
 
Mkuu, kama ni kweli uyasemayo, we ndo umeandika hii post hapa chini au kuna mtu alikuibia password yako?

Kama ni wewe unaidhalilisha SUA!! Na ikawaje ukasoma SUA afu ukawa mwalimu? Matokeo SUA yalikuwaje? Au ndo tatizo la ajira?
umekalili eti SUA ni kilimo tu! kuna kozi nyigi sana, matokeo ya SUA nina 1'st class na GPA ya 4.3 we una division 4 ya ngapi katika mtihani wa kidato cha nne?
 
Yaani kama wewe ni mwalimu sishangai tena kwa nini watoto 260,000 wamepata division 5.

Unaweza kuniambia DHALAU maana yake nini? What a foolish way of talking, eti sa ivi. Kichefuchefu!

kama ulipass kiswahili nenda TUKI! mi niulize HESABU NI NINI sio maneno yako ya kijinga kisa una D ya kiswahili form4!
 
HACHOKI TALEMWA waaambie hao wamejaa dharau kwa walimu wametoa photocopy vyeti hadi vimepauka afu bado wanaleta dharau kwa walimu kudadeki zao
 
This is too LOW!! Ngoja nisepe.
 
Nko TABORA BOYS NAFUNDISHA MATHEMATICS V NA VI! VIPI WEWE UMEFIKIA WAPI NA BAHASHA?
Hahahahaha..... Mwajiriwa wa Kikwete!! Poor you! Unataka ugome? JK si aliwaambia kama vipi poteeni mkatafute mishahara mnayoitaka mkafyata mkia?
 
enzi zitakazokumbukwa kwa elimu ni NYERERE, unaruka moja, unakuja ya tatu MKAPA. Hizi za pili na nne, zimetuletea majanga makubwa sana.
 
HACHOKI TALEMWA waaambie hao wamejaa dharau kwa walimu wametoa photocopy vyeti hadi vimepauka afu bado wanaleta dharau kwa walimu kudadeki zao

true dat.., half a bread is better than none.
 
Hahahahaha..... Mwajiriwa wa Kikwete!! Poor you! Unataka ugome? JK si aliwaambia kama vipi poteeni mkatafute mishahara mnayoitaka mkafyata mkia?

ni kweli walikimbia., we matokeo huyaoni. Unadhani bado waupo !..
 
Nadhani huyu ndugu kajifanyiza mwalimu au kwa maneno mengine ni mwalimu feki. Sijawahi kusikia mwalimu akisema anaacha kazi in my life pili anasema umeshapata kamtaji ilihali kuna walimu hawajapata mishahara miezi mitatu toka waajiriwe, tatu mshahara wa mwalimu yupi unaomtosha kusave kiasi hicho cha kuwa mtaji? Hajui mshahara wa mwalimu huyu. Jipange upya uje na ushauri kwa watu wa kada yako na siyo waalimu.
 
Bora mi nimesoma hesabu na ninaelewa kiswahili kidogo! sa wewe unaishi TANZANIA lakini kiswahili hujui! nini maana ya unadharaulisha?

Kwanza hujui Kiswahili, pili hata hiyo hesabu unayojisifia ninakushinda ukae ukijua, unajisifia kufundisha hesabu huko Tabora Boys, mimi nimewahi kufundisha hesabu chuo kikuu na nikaacha vile vile, tatu acha kujishaua fanya kazi zako mkurugenzi wa elimu akuone upate cheo uwe mwalimu wa Taaluma au nidhamu na mwisho mimi siishi Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…