HACHOKI TALEMWA
Member
- Mar 4, 2013
- 93
- 9
- Thread starter
- #21
Vipi niambie umeshanunua Bahasha ngapi za kuombea kazi? na vp bado unasema walimu ni failues? nijibu mkuu!!wewe ulipata daraja la tano ukatumia cheti cha mwenzako aliyefaulu kusomea ualimu! hili halina ubishi kwa utumbo uliouandika hapa!