Walimu tufanye ivi kukomesha dhalau

We ndo unaanza leo,Mwalimu ni kama luku,tumia ulicholipa,wananchi watalia sana na bado,maneno matupu so issue vitendo vimeonekana,kuwapiga pori,Sylubus natumia ya mwaka1985,wanakula nyimbo mpango mzima,mnataka mfundishiwe mitoto yenu kwa hela zipi mnazotu
 
Lipa,watanzania wanawakandia na kuwadharau waalimu ila wanakaa wakisubiri matunda matamu,hukumwagilia mti,hukupalilia matunda yepi mnategemea,na bado tuna mpango wa mazombi350,000.
 

:yo:Hata huo mwaka ni mreefu tuache hata kwa miezi mitano au tufundishe nje ya slabus tuone kama watabebelea bahasha kutafuta kazi.....................!
 
vipi niambie umeshanunua bahasha ngapi za kuombea kazi? Na vp bado unasema walimu ni failues? nijibu mkuu!!

nafikiri hujanielewa, na hii inatokana na uwelewa wako mdogo! Unachoandika hakiendani kabisa na sifa za mwalimu, na ndio maana nafikiri ulipata division tano. Wewe ni mmoja ya watu wanaoaibisha fani ya ualimu!
 

acha kazi baki na ajira .
 
umekalili eti SUA ni kilimo tu! kuna kozi nyigi sana, matokeo ya SUA nina 1'st class na GPA ya 4.3 we una division 4 ya ngapi katika mtihani wa kidato cha nne?
We ---- wacha usenge we hata chuo haujasoma umeona wp first class ikawa ni 4.3 hiyo ni upper second class na first class inaanza 4.5.fani za w2 hz umekosea njia.
 
We ---- wacha usenge we hata chuo haujasoma umeona wp first class ikawa ni 4.3 hiyo ni upper second class na first class inaanza 4.5.fani za w2 hz umekosea njia.
ndio nilitaka kushangaa aisee, labda nikajua siku hizi wamebadilisha grade za first class kwa TZ
 

Mimi ni mwanafunzi ila nilipoweka rangi nyekundu nikuonesha kuwa mwalimu wewe hata ukiacha kwa mwaka mmoja wanafunzi wako hawatoathirika sana.....Naomba sana usidhani nina DHALAU kazi yenu mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…