Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa mwaka 2010 wakati wa campaign za kikwete,akasema walimu ni..............! sa ivi vanaosoma kozi zisizo za ualimu wanaona wao ndo walifaulu mitihani ya kidato cha 4 na 6! na hawajui kuwa wataenda kubebelea baasha wakiwa wanatafuta kaz! sa walimu tufanye ivi kwasasa tuna mtaji walau wa kuanzisha kakibanda katakako2fanya 2savave!!! tuache ualimu walau kwa mwaka mmoja tuone hao wanaojidai kama watatokea tena!!!!!!!!!!!! au walim mnasemaje
vipi niambie umeshanunua bahasha ngapi za kuombea kazi? Na vp bado unasema walimu ni failues? nijibu mkuu!!
Ilikuwa mwaka 2010 wakati wa campaign za kikwete,akasema walimu ni..............! sa ivi vanaosoma kozi zisizo za ualimu wanaona wao ndo walifaulu mitihani ya kidato cha 4 na 6! na hawajui kuwa wataenda kubebelea baasha wakiwa wanatafuta kaz! sa walimu tufanye ivi kwasasa tuna mtaji walau wa kuanzisha kakibanda katakako2fanya 2savave!!! tuache ualimu walau kwa mwaka mmoja tuone hao wanaojidai kama watatokea tena!!!!!!!!!!!! au walim mnasemaje
We ---- wacha usenge we hata chuo haujasoma umeona wp first class ikawa ni 4.3 hiyo ni upper second class na first class inaanza 4.5.fani za w2 hz umekosea njia.umekalili eti SUA ni kilimo tu! kuna kozi nyigi sana, matokeo ya SUA nina 1'st class na GPA ya 4.3 we una division 4 ya ngapi katika mtihani wa kidato cha nne?
ndio nilitaka kushangaa aisee, labda nikajua siku hizi wamebadilisha grade za first class kwa TZWe ---- wacha usenge we hata chuo haujasoma umeona wp first class ikawa ni 4.3 hiyo ni upper second class na first class inaanza 4.5.fani za w2 hz umekosea njia.