Honorable GPA
Senior Member
- Mar 31, 2019
- 149
- 223
Angalau hata hao wame chukuliwa chukuliwa wamebaki wachache! 2018 tuna sota jamani! Kila ajira zikitoka hatuchukuliwi!Wa 2016 unamwambiaje?
Inatoka lini hiyo batch ya 2Kuna batch ya pili,humo 2018 wote mtakuwemo.Msikate tamaa
Nilijaza zote za vijijini! Lakini hamna kitu!Andike shule za vijijini Hakuna competition huko yani wote mjaze dar town lazima ukatwe
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ajira zipo around 8000 lakini katibu alisema ajira zipo 13000 hata mimi nashindwa kuelewa kwakweli!Nilisha sema siku chache zimepita kwamba serikali ya CCM haina pesa ya kuajiri walimu au watumishi wakada za kutumikia moja kwa moja umma, pesa yote ilitumiwa kuwalipa Askari na wanajeshi pamoja na foreigners wakati ule wa uchaguzi. Wanajinasibu wametoa ajira, hawafiki hata 6000 walio ajiriwa hiyo document yenye kurasa 195 ni geresha tu maagizo yamekwisha tolewa huko halmashauri...
Better tuwe wakweli tu.
CCM chama changu, nasema uongo ndugu zangu.?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mimi ni mtetezi wa wanyonge,nilishawahi kua mwl najua magumu mnayopitiaaa.
Nasema uongo ndg zangu?Mniombeeeeeeeeeeeeeeeee.