Honorable GPA
Senior Member
- Mar 31, 2019
- 149
- 223
- Thread starter
- #21
Mama samia njoo uone wanao tumeendelea kubaguliwa huku!
Miaka yote hiyo ulikuwa wapi Lol! Nyie ndio mnaotubania riziki wadogo zenu!Sas ss tulio maliza mwaka 2011 na bado nazaka ajiravtu
Vumilieni,wenzenu tangu 2015 wapo nyie 2018 iweje,angalau kwa mwanga wa hizi zilizotoka watu wana matumaini siku moja huenda wakapata,wa kulaumiwa ni mwenda zakeMiaka yote hiyo ulikuwa wapi Lol! Nyie ndio mnaotubania riziki wadogo zenu!