Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

Binafsi naona kazi ya ualimu,walimu wenyewe inabidi watumie nguvu kubwa kuhakikisha wanaotoboa tena sio kwa kutegemea mshahara labda wawe ni wako international skulz.

Mwalimu kutoboa inabidi awe na kakazi ka pembeni kanakomboost.
Kazi yoyote Ile hakuna mshahara unaotosha
 
Mimi naamin inawezekana lakin sio mwalimu wa mjini..
Kuna kijiji nilitembea nikapata kuna mwalimu anamilik matrekta Yale ya milion 50 sio moja na analima mapori sio mchezo analima soya na kuvuna tani za maharage hayo..
Huyo mwalimu wa shule ya msingi hakosi milion 100++
 
Mimi naamin inawezekana lakin sio mwalimu wa mjini..
Kuna kijiji nilitembea nikapata kuna mwalimu anamilik matrekta Yale ya milion 50 sio moja na analima mapori sio mchezo analima soya na kuvuna tani za maharage hayo..
Huyo mwalimu wa shule ya msingi hakosi milion 100++
Sasa Kuna wadau hapa hawaamini Mwalimu anaweza kuwa na 100+m TZS
 
Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha kupitia biashara ndogo ndogo ikiwemo kuuza vitafunwa katika migahawa minne karibu na shuleni kwangu hapa jijini Dodoma

1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)

Mpwayungu Village
Kazi kipimo cha utu (Lukosi, 2022)
Nilidhan uzi by mpwanyungu
 
Hakuna aliyetoboa kimaisha harafu akawa anatumia zaidi ya masaa 45 kwa wiki zima kwenye kazi ambayo kipato chake hakifiki milion Moja kwa mwezi
Aliekwambia nani uwa mshahara haufiki m1. TGTSF,G,H,I unajuwa wanachukua sh. Ngapi?
JF ina vilaza sana.
 
Wote wametoboa kimaisha isipokuwa yule aliyetangulia mochwari na kaburini. Tena wote wanamshukuru Mungu kwa zawadi kubwa ya uhai.. maisha yanaendelea !
 
Back
Top Bottom