luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Kazi yoyote Ile hakuna mshahara unaotoshaBinafsi naona kazi ya ualimu,walimu wenyewe inabidi watumie nguvu kubwa kuhakikisha wanaotoboa tena sio kwa kutegemea mshahara labda wawe ni wako international skulz.
Mwalimu kutoboa inabidi awe na kakazi ka pembeni kanakomboost.
Ahahahahaha!Posho 5000
Sasa Kuna wadau hapa hawaamini Mwalimu anaweza kuwa na 100+m TZSMimi naamin inawezekana lakin sio mwalimu wa mjini..
Kuna kijiji nilitembea nikapata kuna mwalimu anamilik matrekta Yale ya milion 50 sio moja na analima mapori sio mchezo analima soya na kuvuna tani za maharage hayo..
Huyo mwalimu wa shule ya msingi hakosi milion 100++
Nilidhan uzi by mpwanyunguJapo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha kupitia biashara ndogo ndogo ikiwemo kuuza vitafunwa katika migahawa minne karibu na shuleni kwangu hapa jijini Dodoma
1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)
Mpwayungu Village
Kazi kipimo cha utu (Lukosi, 2022)
Weka bank statement,tuthibitishe hizo M100 kwanzaWalimu wenzangu tuache uvivu wa kubweteka na shikamoo na mshahara
unajua hizo nyumba kajenga lini?Nyumba mbili dodoma haziwezi kukupa zaidi ya 2m kwa mwezi, manaake ni miezi 50 kupata 100m jambo ambalo sio rahisi.
Aliekwambia nani uwa mshahara haufiki m1. TGTSF,G,H,I unajuwa wanachukua sh. Ngapi?Hakuna aliyetoboa kimaisha harafu akawa anatumia zaidi ya masaa 45 kwa wiki zima kwenye kazi ambayo kipato chake hakifiki milion Moja kwa mwezi
Sawa ticha tajiri unayelipwa zaidi ya millionAliekwambia nani uwa mshahara haufiki m1. TGTSF,G,H,I unajuwa wanachukua sh. Ngapi?
JF ina vilaza san
Namshauri aachane na ualimuWewe si Mwalimu tena bali MWEKEZAJI
Ualimu nafanya geresha tu. Kazini najifanya lofa tu. Nimeajiri watu 8 kuandaa vitafunwa Jumatatu-ijumaa kuanzia saa 9 usikuNamshauri aachane na ualimu
Nakusapoti[emoji4]Ualimu nafanya geresha tu. Kazini najifanya lofa tu
Asante kwa swali zuri.."kutoboa kimaisha" ndiyo nini maana yake?