Walimu tumieni vema neno ''stomach'' katika mitaala yenu

geomos

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
625
Reaction score
175
Toka naanza kusoma ,waalimu walitukaririsha neno "stomach" Kwa kushika tumbo kama moja ya maeneo ya nje ya mwili. Ukweli ni kwamba tumbo unaloweza kuligusa nje linaitwa "abdomen" na sehemu ya utupu ndani ambako kuna tumbo chakula yaani "stomach", ini yaani "liver" , bandama yaani "spleen" ,kongosho yaani "pancrease" ,utumbo mwembamba yaani "duodenum" ,utumbo Wa kati yaani "ileum" ,utumbo mpana yaani "colon" ,figo yaani "kidneys" na pia unaweza ukajimuisha kibofu cha mkojo yaani " urinary bladder".

Kwa mantiki hii wanapofundisha watoto waseme stomach wakishika tumbo si sahihi, wanakuwa wanataja kiungo kimoja kinachopatikana katika pango la tumbo yaani "abdominal cavity"
 
Sasa hiyo unajua wewe, sisi tuliambia ni stomach,head,legs hivyo vingine vyenu nyie wasomi sana
 
Sijui una ufahamu kiasi gani kuhusu hierarchy of difficulty katika kujifunza. Kushika tumbo kumaanisha "stomach" ni sahihi,kabisa kwa kiwango cha msingi na hata sekondari. Baadae katika higher levels of learning ndipo unapoanza kufanya hizo deeper classifications
 
Ndugu, hongera Sana kwa kutoa jibu jema Na sahihi.
 
Toka naanza kusoma ,waalimu walitukaririsha neno "stomach" Kwa kushika tumbo kama moja ya maeneo ya nje ya mwili. Ukweli ni kwamba tumbo unaloweza kuligusa nje linaitwa "abdomen" na sehemu ya utupu ndani ambako kuna tumbo chakula yaani "stomach", ini yaani "liver" , bandama yaani "spleen" ,kongosho yaani "pancrease" ,utumbo mwembamba yaani "duodenum" ,utumbo Wa kati yaani "ileum" ,utumbo mpana yaani "colon" ,figo yaani "kidneys" na pia unaweza ukajimuisha kibofu cha mkojo yaani " urinary bladder".

Kwa mantiki hii wanapofundisha watoto waseme stomach wakishika tumbo si sahihi, wanakuwa wanataja kiungo kimoja kinachopatikana katika pango la tumbo yaani "abdominal cavity"

Ndugu, haujui hierarchy of difficulty.
kwa level unayotaka kujipambanua, nikurekebishe kidoga, hatuna kitu kiitwacho kidney, instead we have NEPHRON.
 
Back
Top Bottom